yaani ni nzuri Anja na Obakeng kuwa na mahusianoUnayoangalia sasa hivi mimi nimeiangalia miezi saba ilitopita!!! sasa hivi tupo pamoto, ulishawahi kuwaza kuwa sibiya atataka kwenda shule??? ndio sasa...
Hamjambo??? Kwa wale vipenzi wa tamthilia ya isidingo tuwe tunaijadili hapa .
Unaweza ukachelewa kuiangalia lakini ukapata kujua kilichoendelea.
Iliyoisha kiukweli sibiya kanifurahisha maana alijifanya mbabe akaenda oficini kwa Ben sasa kilichompata huko mpaka mwenyewe akaita security aah nilicheka kweli hapo
Ila kilichonihuzunisha ni lerato kumwacha mayor sechaba kiukweli walikuwa wanapendezeana si Mchezo.
ndio hao ni wasouthSio mfuatiliaji lakini hayo majina mbona ya kisouth Africa
Hao ni was south?
Lerato, sechaba
Kuna tamthilia inaitwa "Days of lives" hiyo ipo tangu mwaka 1963.Tamthilia gani haina mwisho toka nimesikia kwenye wimbo wa prof j au suma g mpaka Leo hipo
Ilivyoisha tu Egoli 1998 ikaanza Isidingo dah,, long time mi nilishaachaga hata kuifatilia,, tamthilia gani haiishi
Wewe tupo wote ka kabisa ππππππyaani ni nzuri Anja na Obakeng kuwa na mahusiano
Nimeambiwa iko jukwaa la intertainmentUnaweza ukabadili title Ili huu Uzi Uwe kwaajili Ya Isidingo iliyo current ambayo huwa inawekwa you tube Kila siku.Coz kuna Watu wanaifuatilia ile ambayo ipo Mbele kama miezi nane hivi