Isidingo the need

Abbitto

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
547
744
Hamjambo??? Kwa wale vipenzi wa tamthilia ya isidingo tuwe tunaijadili hapa .
Unaweza ukachelewa kuiangalia lakini ukapata kujua kilichoendelea.
Iliyoisha kiukweli sibiya kanifurahisha maana alijifanya mbabe akaenda oficini kwa Ben sasa kilichompata huko mpaka mwenyewe akaita security aah nilicheka kweli hapo
Ila kilichonihuzunisha ni lerato kumwacha mayor sechaba kiukweli walikuwa wanapendezeana si Mchezo.
 
Unayoangalia sasa hivi mimi nimeiangalia miezi saba ilitopita!!! sasa hivi tupo pamoto, ulishawahi kuwaza kuwa sibiya atataka kwenda shule??? ndio sasa...
 
yaani ni nzuri Anja na Obakeng kuwa na mahusiano
 
Hamjambo??? Kwa wale vipenzi wa tamthilia ya isidingo tuwe tunaijadili hapa .
Unaweza ukachelewa kuiangalia lakini ukapata kujua kilichoendelea.
Iliyoisha kiukweli sibiya kanifurahisha maana alijifanya mbabe akaenda oficini kwa Ben sasa kilichompata huko mpaka mwenyewe akaita security aah nilicheka kweli hapo
Ila kilichonihuzunisha ni lerato kumwacha mayor sechaba kiukweli walikuwa wanapendezeana si Mchezo.

Sio mfuatiliaji lakini hayo majina mbona ya kisouth Africa
Hao ni was south?
Lerato, sechaba
 
dah isidingo nimezaliwa nimeikuta,,,
mnaofuatilia isidingo much respect
 
Duh kitu haiishi tu? Toka miaka ya 90 niko sekondari mpk leo híi nimezeeka nakaribia kujukuu ngoma inadunda tu?
 
Unaweza ukabadili title Ili huu Uzi Uwe kwaajili Ya Isidingo iliyo current ambayo huwa inawekwa you tube Kila siku.Coz kuna Watu wanaifuatilia ile ambayo ipo Mbele kama miezi nane hivi
 
Ilivyoisha tu Egoli 1998 ikaanza Isidingo dah,, long time mi nilishaachaga hata kuifatilia,, tamthilia gani haiishi
 
Unaweza ukabadili title Ili huu Uzi Uwe kwaajili Ya Isidingo iliyo current ambayo huwa inawekwa you tube Kila siku.Coz kuna Watu wanaifuatilia ile ambayo ipo Mbele kama miezi nane hivi
Nimeambiwa iko jukwaa la intertainment
Sikuwa na jua kwa hiyo nimehamia huko na wengine
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom