Abbitto
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 547
- 744
Hamjambo??? Kwa wale vipenzi wa tamthilia ya isidingo tuwe tunaijadili hapa .
Unaweza ukachelewa kuiangalia lakini ukapata kujua kilichoendelea.
Iliyoisha kiukweli sibiya kanifurahisha maana alijifanya mbabe akaenda oficini kwa Ben sasa kilichompata huko mpaka mwenyewe akaita security aah nilicheka kweli hapo
Ila kilichonihuzunisha ni lerato kumwacha mayor sechaba kiukweli walikuwa wanapendezeana si Mchezo.