Ishu ya ardhi!

Ishu ya ardhi!

Shedafa

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2008
Posts
802
Reaction score
175
Wadau naomba msaada wa ushauri au ufahamu!
Kwa kipindi kirefu nimekuwa na matatizo ya ardhi, ofisi inayoshughulikia tatizo yangu ni Land saveyor ya manispaa. Kuna kipindi nilikata tamaa nikaachana nalo, ila baada ya Lukuvi kuhimiza mwaka jana nikaona ni vyema nikajaribu tena. Bahati mbaya sijafanikiwa hadi sasa, hivi natoka kwao muda huu na sioni dalili za kutaka kulitatua shauri langu. Wazo nililonalo ni kuwaingiza wanasiasa ili kupata msaada, lakini kabla ya hapo nafikiri kwenda ngazi ya juu zaidi kiutendaji.
Msaada ninao hitaji ni kujua ngazi ya juu kiutendaji ya land saveyor, au mwenye wazo zuri zaidi.
Natanguliza shukrani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom