Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,142
- 5,659
No, usumbufu wa leo ndiyo msingi wa kesho. SUMBUKA SANA LEO.Kwahiyo nianze kuishi leo, then kesho itajisumbukia sindio...??🙄
Mie nipo Makutini hapa kwa Siro, ndio nimefungulia mwezi kwa Balimi ya 6 tayari..😋No, usumbufu wa leo ndiyo msingi wa kesho. SUMBUKA SANA LEO.
Njoo Mang'ombe leo tuishi Mkuu kama upo Mbogwe
Mang'ombe haieleweki. Nimepita huko jumamosi Hadi lulyu nilifika. Labda mwakitolyo natafakari kuweka mwalo.No, usumbufu wa leo ndiyo msingi wa kesho. SUMBUKA SANA LEO.
Njoo Mang'ombe leo tuishi Mkuu kama upo Mbogwe
Njoo Masumbwe Broh.Mang'ombe haieleweki. Nimepita huko jumamosi Hadi lulyu nilifika. Labda mwakitolyo natafakari kuweka mwalo.
Masumbwe pori gani?Njoo Masumbwe Broh.
Sijamaanisha tuache kuwaza, la hasha!.. ila tuutendee haki mchakato wa mawazo yetu leo.Umeandika mambo magumu.
But huwezi kaa tu bila kuwaza kesho yako.
Leo niko shop hapa ila nawaza kesho kuwa na shop la dawa za binadamu.
Lazima tuishughulishe sana akili.
Kuna pori la nyakafulu, kanegele, mavumbini etc Sasa unataka nije pori lipi?Mjini Mbogwe
Njoo ShendaKuna pori la nyakafulu, kanegele, mavumbini etc Sasa unataka nije pori lipi?
WAKATI MWINGINE JARIBU KUACHA KUWEKEZA KWENYE MALENGO BADALA YAKE WEKEZA KWENYE MCHAKATO.
"Sometimes we must stop being goal oriented and shift to process oriented"
........................................................................................................................ ..
Kuendelea kujiwekea malengo na kujisahaulisha kuwekeza kwenye mchakato ni kujilisha upepo. Kumbuka tunaishi leo, jiulize leo unafanya nini hata kutamani kesho?. Malengo ni kesho na kwa hakika ni matokeo ya unachofanya leo ...."Unafanya nini leo?."
Kuna mambo ya ajabu sana katika ulimwengu huu, embu tafakari juu ya hili. Lengo la mwisho la maisha yetu ni kifo, je tunapokimbilia malengo tunakimbilia wapi?.Mchakto ndiyo maisha yako ya leo haswa na ndiyo unaweza kusukuma matokeo "consequences".
Haiwezekani kuishi Duniani kabla ya kuzaliwa, kuzaliwa ni mchakato unaotangulia kuishi. Lengo kinapaswa kutokana na mchakato. Ishi leo kwanza kabla ya kesho. Tatizo letu tunatamani sana kuishi kesho kabla ya kuishi leo.
...........................................................................................................................