CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
-
- #21
mi nkimuona mtu anapiga miayo na mimi domo tayar sikumingi nshafungua
kwa hyo ukiona watu wanaduu na wewe unapata haamu inaonekana na hilo...
Usiache kuangalia, manake ukiacha macho yatakonda sana.