CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
............Kuna katabia ambako nimeshindwà kukaacha... mf. nikiwa kwenye public tranport nikamwona mtu yuko busy anachat lazima na mie nitatoa kimchina changu nitatuma sms. kama cna salio nitasoma sms zilizopo kwenye inbox ama sent item.km anaongea nami nitapiga simu ama kubeep. dah smtime hadi najichukia. nyingine nikiona mtu anakunywa maji na mie huhisi kiu kama kuna maji karibu nami nitakunywa. nyingine kama mtu akinambia anakwenda haja nami hutaka kwenda hata km cjabanwa! je wewe huwa inakutokea???nawezaje kuach
View Profile: beibe nasty - JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Kuna katabia ambako nimeshindwà kukaacha... mf. nikiwa kwenye public tranport nikamwona mtu yuko busy anachat lazima na mie nitatoa kimchina changu nitatuma sms. kama cna salio nitasoma sms zilizopo kwenye inbox ama sent item.km anaongea nami nitapiga simu ama kubeep. dah smtime hadi najichukia. nyingine nikiona mtu anakunywa maji na mie huhisi kiu kama kuna maji karibu nami nitakunywa. nyingine kama mtu akinambia anakwenda haja nami hutaka kwenda hata km cjabanwa! je wewe huwa inakutokea???nawezaje kuach
https://www.jamiiforums.com/members/beibe-nasty.html
pole shostKuna katabia ambako nimeshindwà kukaacha... mf. nikiwa kwenye public tranport nikamwona mtu yuko busy anachat lazima na mie nitatoa kimchina changu nitatuma sms. kama cna salio nitasoma sms zilizopo kwenye inbox ama sent item.km anaongea nami nitapiga simu ama kubeep. dah smtime hadi najichukia. nyingine nikiona mtu anakunywa maji na mie huhisi kiu kama kuna maji karibu nami nitakunywa. nyingine kama mtu akinambia anakwenda haja nami hutaka kwenda hata km cjabanwa! je wewe huwa inakutokea???nawezaje kuach
View Profile: beibe nasty - JamiiForums | The Home of Great Thinkers
usiwe unawaangalia watu mpz mana hilo tatizo litakuja kugeuka kua alej sasando mnishauri nifanyeje... jamani!
jikaze shost mana ndio utarudia text izooo weeeee mpaka utamtumia mtu siye uliyetaka kumtumiantaachaje kuwaangalia ilhal macho hayana pazia?
ur welcome ila nimeona mume kapigwa ban sasa itabidi uje ujiegeze huku na mm kwa Saint Ivuga mpaka sobhunza atakaporudi au unasemaje lovedah,asante mke mwenza ntajitahd!
Kuna katabia ambako nimeshindwà kukaacha... mf. nikiwa kwenye public tranport nikamwona mtu yuko busy anachat lazima na mie nitatoa kimchina changu nitatuma sms. kama cna salio nitasoma sms zilizopo kwenye inbox ama sent item.km anaongea nami nitapiga simu ama kubeep. dah smtime hadi najichukia. nyingine nikiona mtu anakunywa maji na mie huhisi kiu kama kuna maji karibu nami nitakunywa. nyingine kama mtu akinambia anakwenda haja nami hutaka kwenda hata km cjabanwa! je wewe huwa inakutokea???nawezaje kuach
https://www.jamiiforums.com/members/beibe-nasty.html
ndo mnishauri nifanyeje... jamani!
ur welcome ila nimeona mume kapigwa ban sasa itabidi uje ujiegeze huku na mm kwa Saint Ivuga mpaka sobhunza atakaporudi au unasemaje love
kwa hyo ukiona watu wanaduu na wewe unapata haamu inaonekana na hilo...
mi nkimuona mtu anapiga miayo na mimi domo tayar sikumingi nshafungua