Is true 'first love is true love.?

Is true 'first love is true love.?

3Gy

Member
Joined
Jun 6, 2015
Posts
26
Reaction score
4
Et ni kwel kwamba ukipenda mara ya kwanza ndo upendo wa kwel.,na kama ikitokea mmeacha na yule uliyempenda mara ya kwanza ukampenda mwingine je huo una kuwa ni upendo wa kweli au ni maigizo tu.?
 
Upendo wa kwanza ni wa mama yako, other pendo's ni episode ya upendo....Pipooooooz!
 
Hapana inategemea,mi nilikua nampenda slaa mwanzoni lakini sasa iv nampenda lowassa kwaio haimaanishi lowassa simpendi kweli sababu sio first love

Tukutane oct 25 na vichinjio

Teh teh...Tamu imekuwa shubiri
 
not sure, but they say the first cut is the deepest...!!
 
Hayo ya 25 October siyo mapenzi ni Mahaba kwa mh Lowassa
 
Et ni kwel kwamba ukipenda mara ya kwanza ndo upendo wa kwel.,na kama ikitokea mmeacha na yule uliyempenda mara ya kwanza ukampenda mwingine je huo una kuwa ni upendo wa kweli au ni maigizo tu.?

True love ni pale unayempenda NDIYE anayekupenda. Sababu unaweza kumpenda mtu lakini ikatokea huyo mtu hata hana hisia zozote kwako. TRUE LOVE IS RECIPROCATING LOVE.
 
Back
Top Bottom