Is this normal?: Siku hizi naanza kuhisi kwamba kila mtu ana nia mbaya

Hello guys,

Jamani these days nimekuwa na tabia ya kuchukia watu bila sababu yoyote maalum, kuanzia kuweka vinyongo rohoni, na kuwaombea kifo maadui zangu, yani natamani nisiongee na binadamu yoyote ila ndo hivo tu inanibidi, lyk hata nikiona mtu anapenda kunichekelea na kuongea na mimi naona kama huyu mtu anani-enjoy tu (ananifanyia unafiki) bila kuwa na proof yoyote.

Roho nliyonayo sasa na nliyokuwa nayo 7 years ago ni vitu viwili tofauti, those days sikuwawazia watu mabaya 24/7 and i was forgiving and trusting people easily, hivi hii ni kwangu tu? au kuna wengine pia mnai-experience??, hata some people who are friendly to me, huwa nawasonya rohoni ila wao hawajui tu..sometimes ili kuondoa hii chuki nimejaribu kutochukulia watu serious

jamani kuna wengine yanawakuta kama haya?

NB: (THIS HAS GOT NOTHING TO DO WITH LACK OF MONEY) kama sawala ni pesa, madeni sina, simtegemei mtu, na hela ya kunitosha ninayo
Psycosis hiyo waone wataalam haraka iwezekanavyo
Najua hiyo shida nimewahi kuwa na mgonjwa wa hivyo..
 
nyege is not a reason, kunawatu wanatia kila cku na wana roho mbaya kuliko joanah interegenciadick
May be mkuu......
Ila mie nikiwa na nyege sana hako ka hali kanakuja ivi ila nikishasugua mtu nakuwa na furaha hata aniongpee namwamin kwa muda huo!
Ili mradi nimfurahishe ajione bora kumbe nyuma namchora,iyo hali ni mbaya itakukosesha watu wa muhimu ktk maisha yako.
Vip hata familia yako unawachukia ivo na kutokuwahamin?
Pole sana mkuu.
 
nyege is not a reason, kunawatu wanatia kila cku na wana roho mbaya kuliko joanah interegenciadick
Sasa mkuu wewe unahisi kinachosababisha wewe kuwa hivyo ni nini?ungekuwa umezaliwa na hilo tatizo tungekuwa hatuna cha kusuggest,ila limetokea miaka kadhaa...hapa tunajaribu kujua tatizo ni nini kabla ya kulisolve

Tuambie wewe basi nini kinakufanya uwe hivyo?
 
Tatizo ni wewe mwenyewe tu you and yourself, na saasa angalia umeruhusu nguvu ya hasira inakutawala, kwa nini lakini? kitu cha mwanzo jaribu kubadilisha maingiliano yako na jamii, angalio tatizo ni wapi na ukubali majukumu yako. Tafuta sehemu ya wazi kaa chini na jifikirie mwenyewe wewe ni nani na kwa nini hasira ziwe ndio Mungu wako? kwa nini hasira zinakutawala maisha yako badala ya wewe kuzitawala? ni wewe mwenyewe tu.
 
Mimi hiyo hali iliwahi kunitokea na sababu ni ukame mfukoni, nikaona huenda inafanana na wewe, basi kama sivyo mtaalamu wa sailologia usicheze nae mbali
 
Back
Top Bottom