alieelewa anitafsilie samahanini lakini!
anamaanisha lowasa ndie kipenzi cha watu
Kumbe,hongera yake!
kwi kwi kwi bitebo unazingua
Love is overrated! I wonder if I've ever fallen in love.. Ni mwendo wa lust, mihemko ya siku mbili then unatafuta nyama nyingine...
Si unajua tena sisi wengine shule tulikimbia!
mi mwenyewe masuala ya shule sitak kabsa degree,cpa,master, div 1 siju gpa nini sitaki kabsa nina dem wangu ndio ananitafsiria ujumbe wwte sina shida.....sitak kabsa kuumizwa kichwa changu. Mi niulize masuala ya mpira,kubet aaaah hapa ndio nyumbani
bitebo wat dou min? do wat u can ok! and stop jokix
anamaanisha lowasa ndie kipenzi cha watu
Hahahahahaha sio vizurii ujue