donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Salaam wakuu,
Yaan tangu nianze kucheza ea games (whether fifa, NFL, nba live, NFS etc.) Sijawahi kupata game inayokubali kucheza online. Wale jamaa wajanja aisee unainstall frsh ila ukitaka kucheza online wanakwambia uingize serials zao, nimeshajaribu sana kudownload vi keygens mbali mbali ila vingi ni vi virus tu havina ishu. Sasa ukifikiria cost ya original CD duuh, ni mara kumi tu tubaki kuwa limited kucheza online.
Need for speed world, ni free game na una play online unashindana na watu mbalimbali
kwa upande wa ea sijui ila kuna kipindi nilifanikiwa kucheza pes 12 online though ni kwa kipindi kidogo,badae ikawa inagoma kama miezi miwili hivi,kiukweli kucheza online game ni raha sana una feel kabisa ule ushindani na binaadamu mwenzako,so interested
Kweli mkuu, raha sana kupata challenge mpya kwa watu tofauti. Mi nilichezaga kwa jamaa yangu ana Xbox aisee nilifungwa 5-3 na mshkaj kutoka Ontario
inaonekana wewe kiwango bado ngoja fifa 14 itoke kuna kitu nimepata nitajaribu kama nitaweza kucheza online
Mkuu anytime any place I dare to challenge you.
Nb: fifa, not pes
Haha haya mkuu, unanikumbusha jamaa mmoja aliomba challenge kumbe amecreate wachezaji watatu af kawajaza wote power 100% mwisho wa siku akala nane moja.haya ngoja tutafute week end moja hivi nikuonyeshe how to play fifa,usije ukaomba poo tu!!!
hahahah mimi sio wa hivyo kama vipi ngoja tusubirie 14 itoke kabisa tuwe latestHaha haya mkuu, unanikumbusha jamaa mmoja aliomba challenge kumbe amecreate wachezaji watatu af kawajaza wote power 100% mwisho wa siku akala nane moja.