donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Hiyo ni regression si correlation basiSalam wakuu
Straight to the point... Tumeshuhudia nchi nyingi sana za Africa magharibi uongozi wa juu (Rais) akipinduliwa na Jeshi kuingia madarakani. Miezi michache iliyopita luteni kanali mamady doumbouya alishika chat baada ya kuipindua serikali ya Guinea nakushika madaraka ya uRais, hatujapoa naona luteni kanali Paul Henry Damiba wa Burkina Faso ametwaa madaraka ya uRais.
Swali langu wakuu, Kuna mahusiano gani ya hiki cheo Cha luteni kanali na coup d'etat? Je, kwanini wasiwe mabrigedia, majenerali au wakuu wa majeshi kabisa lakini ni maluteni kanali? Naomba kuwasilisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ili swali inawezekana Urio anamajibu sahihi. Ndo Mana alitafutwa na Mbowe[emoji851][emoji851][emoji851]
Linear regressionHiyo ni regression si correlation basi
Of course maana ni relationship ya vitu viwili x and yLinear regression
Kama ina make sense hivi mkuuLabda kwa sababu colonel anakuwa inbtween. Bado anaonekana sehemu ya Wanajeshi wa ngazi ya chini wakati huohuo anaelekea kuwa kwenye tabaka la wakubwa jeshini. Colonel Muamar Gadafi case
Ni kweli mkuu, ila nimeongelea kiujumlaMbona Nigeria ina mapinduzi mengi na almost yote yamefanywa na Majenerali kuanzia Buhari,Obasanjo,Babanginda,San Abacha?
Kanali jeshini sio ngazi ya Chini jeshini... Kanali ni miongoni mwa maafisa wangazi ya juu jeshini.... Kikosi anachoweza handle brigedia jeshini pia Kanali huweza ki handle... Kanali ni senior officerLabda kwa sababu colonel anakuwa inbtween. Bado anaonekana sehemu ya Wanajeshi wa ngazi ya chini wakati huohuo anaelekea kuwa kwenye tabaka la wakubwa jeshini. Colonel Muamar Gadafi case
Kanali ni kiongozi wa kikosi maalum ndani ya jeshi (regiment) iwe cha makomandoo au kazi zingine maalum.Salam wakuu
Straight to the point... Tumeshuhudia nchi nyingi sana za Africa magharibi uongozi wa juu (Rais) akipinduliwa na Jeshi kuingia madarakani. Miezi michache iliyopita luteni kanali mamady doumbouya alishika chat baada ya kuipindua serikali ya Guinea nakushika madaraka ya uRais, hatujapoa naona luteni kanali Paul Henry Damiba wa Burkina Faso ametwaa madaraka ya uRais.
Swali langu wakuu, Kuna mahusiano gani ya hiki cheo Cha luteni kanali na coup d'etat? Je, kwanini wasiwe mabrigedia, majenerali au wakuu wa majeshi kabisa lakini ni maluteni kanali? Naomba kuwasilisha
Luten Kanali Makamba, Simba Kalia, Kinana, na wale maluten walitaka kumpindua MchopaLabda kwa sababu colonel anakuwa inbtween. Bado anaonekana sehemu ya Wanajeshi wa ngazi ya chini wakati huohuo anaelekea kuwa kwenye tabaka la wakubwa jeshini. Colonel Muamar Gadafi case
Mkuu, yu wapi mzee wetu Simbakalila?Luten Kanali Makamba, Simba Kalia, Kinana, na wale maluten walitaka kumpindua Mchopa
Sijui mkuu. Ila nimekumbuka tuu jinaMkuu, yu wapi mzee wetu Simbakalila?
Huyo mzee ni kati ya wazee wa heshima sana wa nchi hii.Sijui mkuu. Ila nimekumbuka tuu jina
Acha mzaha bana 🙂"Damiba...ameandika kitabu (kitafute usome) chaitwa "West Africa Armies and Terrorism: Uncertain Responses?""
Ninadhani alikisoma kitabu chake na akaona tatizo huko Burkinabe