'Is there a room for privacy in Marriage/Relationship'??

mie sijaona siri ya kuniua kufunga mdomo, hivi password za benk ni siri?? Au balance ya bank?
 
Kuna tofauti ya kujua password ya e mail ya mpenzi wako na kutembea na simu yake siku nzima...nadhani umenielewa...ndio maana naona wamezidi kwani mara nyingi wamekuwa wanatupa usumbufu sisi third parties tukiwapigia.


 
Ni kweli unayosema NK...
But sielewi tatizo kwa huyu shem wangu cuz jamaa (brother) yuko nje..
Inavyoonekana ule mpunga anaotumiwa kajikatia fungu na yeye anajenga ya kwake...lol
 
Huyo nimemuelewa...ni mwizi...

Kuwa mke wa mtu hakuondoi tabia yake...huyo ni mwii au ana tamaa..anaiba ela ya familia.

Sasa sijuhi anamjengea nani..

Yale yale ya kugombania fito wakati mnajenga nyumba moja.


Ni kweli unayosema NK...
But sielewi tatizo kwa huyu shem wangu cuz jamaa (brother) yuko nje..
Inavyoonekana ule mpunga anaotumiwa kajikatia fungu na yeye anajenga ya kwake...lol
 

yaa nimekuelewa, i undestand that this is a sensitive topic, je wewe unaamini kwamba hakuna privacy ktk ndoa?
 
Ninachoamini ni kuwa si vizuri kuwa na privacy kwenye ndoa...lakini siamini kuwa hakuna privacy kwenye ndoa kwani najua wenye privacy ni wengi kuliko wasio nazo...ila ndoa nyingi za hao wenye privacy ni ndoa ndoano...ubabe unatawala...

Unakuta mtu anakwambia kitu afu anaongezea usimwambie mtu hata mume wangu hajuhi...eeehh unaniamini miye kuliko mumeo???

Hata wanaume wapo wanaoshare siri zao na marafiki na dada zao...lakini si mke...hapo ujue hilo ni penzi la mashaka....

Ndio hao ukiuliza kama kungekuwa na fursa ya kuchagua upya mwenza wa maisha ungemchagua ulonaye anakwambia hapana...

Kwani wengine hizo privacy hazianzi day one ni baada ya kuchokana


yaa nimekuelewa, i undestand that this is a sensitive topic, je wewe unaamini kwamba hakuna privacy ktk ndoa?
 

This is tricky very tricky...
 
Ukiwa na maana ya kuwa wako kwenye open relationship??? Emu ngoja waje watupe jibu hao wenye privacy..Lol

Wanaodai matrimonial mathematics:

Kama 1 + 1 = 2 -> privacy expected.

Kama 1 + 1 = 1 -> no privacy expected. Here your privacy becomes 100% null and void once you get married, depending on the type of marriage of course.

Lakini bado na-doubt kama "privacy" is the appropriate word hapa. Labda ingekuwa "secret"? Faragha vs siri. Au watahitaji faragha?

Kila mtu ana privacy, vingenevyo mahusiano yata-suffer in the run. Lakini hii siyo sawa na ku-keep secret.

Anyway, kwa wale wanaobisha kuwa hakuna faragha kwenye ndoa, wako tayari kujisaida haja kubwa mbele ya wapenzi wao?
 
Inategemea kama uko kwenye ndoa ya kizamani( dnt get it twisted old is gold) ndo mtashea PIN za simu, codes, password, na vingine sababu maisha yenu yamenyooka, u got nothing to hide!!! Na hapo mkeo umeendana nae ufahamu na kiwango cha shule!!! Na hili mwishoni mambo ya kibuma linakulaga kwa wengi.

Ila kama ndo ndoa za kimujini mujini divorce is not an option, swala ni how long will you last, security codes muhimu sanaaa! Siku ya KUDEVIDE HALF OF WHAT YOU GOT, kuficha kwako ndo kutakako kuokoa. CHEZEA I WANT HALF OF EVERY THING!!! LOL! Na kama mumeo hasomeki bora ujenge kisiri, siku ukitupiwa virago usirudi chumba chako kimoja kinondoni kwa mama lara 1 na watoto! Khaaa! Mali zote kauza!

Alafu privacy inategemea mnafanya nini maishani, kama mmeajiriwa na mnaishi legit privacy ya nini?? Ila kama ndo wazee wa magumashi mambo ilegal watu wa money laundering, darg trafficking, Corruption, ukwepaji kodi na mishe zingine huwezi kumwambia mkeo au mumeo hataaaaa! Siku kikinuka AKIWEKWA MTU KATI na madetective anatoa CODES ZOTE na full story juu ili ajinasue peke yake !!! KWISHA HABARI YENU!!!! Maskini Kajalaaa kesi tu ifutwe.
 
Hapo pekundu hata niwe naendesha sitaweza

Ila kuna watu wanaweza, na wala hawana wasiwasi, hadi unashangaa inakuwaje?

 
Ha ha ha ha ha, NK bana


Umenikumbusha kitu lol


Niliwahi pokea email, mie sina habari nafungua mbele ya macho yake, kufungua hivi mweh mweh mweh
Mtu katiririka vibaya mno, makopa ya kutosha

Ujue mtu mweusi sana akipaniki huwa anakuwa wa zambarau, nikamwona amekuwa wa zambarau
akaondoka kwenye laptop, afu ilikuwa yake kama kaona simba
Akaomba maji ya kunywa, nikasema anakata roho nini?
Akalala, huwa siamini kama alisinzia
Alivyoamka ndio aliuliza

Chezeiya ukishakuwa umepigwa presha ya muda, nilielezea tukio from day one tulipokutana hadi siku hiyo
Thanks God aliamini ila from siku hiyo, akili zilitimia lol

 
Kwangu mie hili ni Talaka bila maelezo wala maulizo

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…