Is there a neurologist or a pediatrician in the forum?

pole sana hio ni dalili ya ya brai tumor nenda aghakhan kamuone dr athabhat ye ni mtaalam wa neuro bora uwai kwani ziko za aina 3 inawezekana ni kansa hio
 
Asanteni wote kwa michango,

The little girl is gone now. Ultimately there was NOTHING to be done within human capacities. She is resting in peace now, na familia nzima imekubali matokeo na kumkabidhi Mungu.
 
RR pole sana kwa yote mliyo yapitia kwa huyu malaika wa mungu ambaye muumba amemchukua kwa ajili ya kwenda kuimarisha jeshi lake huko mbinguni.
Kwa hesabu za haraka hivi sasa alikuwa na miezi takriban 9, sina uhakika na yule pacha aliye baki. Lakini kama walikuwa ni identical twins nashauri ni vizuri Karyotype ya marehemu ijulikane na huyo pacha aliyebaki naye afanyiwe Karyotyping pia, kwa sababu kwa jinsi literature inavyoonesha huo ugonjwa aliokuwa nao wa Agenesis of corpus carlosum (ACC) ni genetic in origin na kwa hao monozygous twins huwa wana share genetic mapping, na maranyingi hizi genetic diseases huwa zina tokea in syndrome type. Hii itasaidia kwenye care ya huyo aliye baki. But kama ni fraternal msihangaike.
Utakumbuka story za wazee wa zamani walikuwa wanasema kwamba kama pacha mmoja akiondoka mwingine atamfuata soon, na hii ndo explanation ya huo msemo wa watu wa kale.
Mungu awape nguvu ndugu na wazazi ktk kipindi hiki.

Asante kwa ushauri. They were not identical twins na mwenzie anaendelea vizuri. Alifanyiwa pia vipimo, just as a precaution but alionekana kua mzima as far as her neurologic system is concerned. Wazazi pia wamesha recover ila as the anniversary gets closer and closer tumekua wanyonge tena. It will take time to get used to her absence.
 
Back
Top Bottom