Is technology going too far??

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
2,454
Reaction score
975
Watch this GIFs:-

Jamaa mmoja hapo hachafuki..





Hapa camera inatafsiri toka Spanish kwenda English..!!

 
To put it correctly, technology is going far not 'too far'
 
watengeneze program ambayo itanifanya niibukie marekani kwa tendo la kufumba na kufumbua badala ya kupanda ndege, ili tuamini techology is moving "too far" or far.

mathalani sasa hivi nipo tabata, nataka niende zangu tegeta, lakini inanilazimu nitumie gari.natamani iwe ni fumba na kufumbua pap nipo tegeta napiga mishe zangu halafu pap nipo tabata.lol
 

Jaribu kwa manyaunyau, yule jamaa hashindwi kitu.
 
Huyo asiechafuka katumia technology gani wakuu?
 
Yeye hachafuki lakini upande wake ukuta unachafuka!
 
Hyo ya chini inaweza kukaribia kuwepo ila ya juu sidhani kwakweli
 
Hyo ya chini inaweza kukaribia kuwepo ila ya juu sidhani kwakweli
Nadhani inawezekana. Kuna mdudu fulani huishi kwenye tope lakini akiibuka huwa msafi kabisa. Fabric ikiwa hydrophobic tu yatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…