Is Tanzanian Justice System Working or Worthless? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is Tanzanian Justice System Working or Worthless?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nitasemaukweli, Jun 20, 2011.

 1. n

  nitasemaukweli Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunasikia kila leo matatizo ya serikali kushindwa kuprosecute people in government na zaidi hata companies zinazo violate environmental laws na sheria zingine za wafanyakazi. Sasa tunamefikia wakati wa sisi wananchi kutoa judgment kwa hii system ambayo kweli inatisha sasa. Ukichunguza cases nyingi nchi za karibu yetu hata huko mataifa yalioendelea, wananchi wanafanyakazi kurekebisha justice system zao ili kuleta hali ya imani kati yao na serikali. Nikisoma articles tofauti kuhusu cases za environmental violations na nyingine zinagusa hata makampuni yanayoshindwa hata kuwalipa wafanyakazi wa kitanzania kima cha serikali. Tunajua serikali hizi za ccm siku zote hawataki kuprosecute one of their own, mifano tumeiona Richmond, Dowans, EPA, Mbagala and Gongo la Mboto massacres. Je swali kama la toxic chemicals kwenye maeneo ya mining ni nani atalishuhurikia? Tusome baadhi ya landmark cases za nchi zingine labda tutapata ushahuri na kuchukua hatua.

  Tunashahuri Chadema kujenga kitengo cha sheria katika idara za makao makuu ili kuwa na strategies za kufuata haya makampuni jurisdictions duniani kote i.e. Barrick in Canada


  [​IMG]

  Soma hii case below for additional legal strategies

  ..:recycled minds:..: Chevron's $9.5 Billion in Environmental Damage

  Je case kama hii inaweza kufanyika au kuchukuliwa na mahakama za Tanzania?

  Je majaji wa Tanzania wanaweza kuamua au kujionyesha ni mashujaa wa sheria na free from polical influences?

  Majibu hatuyajui kwasababu zisizowekana.
   
 2. n

  niweze JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 3. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Tanzania's Justice system is a big joke! i do not think it does exist anyway!! shame on our clueless leaders!
   
Loading...