Malunde-Malundi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 1,288
- 131
Kikwete kaambiwa kuendelea kutoa ahadi kila aendapo ni uchuro hadi katungiwa jina Mr. Ahadi kama siyo Dr. Ahadi. CCM kama chama wameishiwa pumzi walikuwa na hoja mbili tu ya upadri na ndoa. Kuhusu vyombo vya habari vimeona biashara inakwenda kushoto inabidi waandike hali halisi wanalazimishwa na upepo ingawa hawapendi.
Inawezekana pia ni Exit strategy.
Really!! Very interesting.Dr Slaa Go Ahead; Go Ahead; Go Ahead; we are on youer behind for good of our Tanzania