ingekuwa pombe zinaruhusiwa kazini, ofisi nyingi zingekuwa na grocery.............
bahati nzuri na yeye hapendi k huwa tunalala hata wiki mbili bila kufanya kituHehehe Smile..sasa na shemeji si atakukimbia.....alafu kama avatar yeko inavyojieleza hapo ni ngumu sana yeye kukuvumilia.
bahati nzuri na yeye hapendi k huwa tunalala hata wiki mbili bila kufanya kitu
wapo, kuna mwanaume namjua, anaweza fanya asubuhi mchana jioni, kwenye gari kichochoroni na yoyote yule hachagui habagui....mwanzoni tulimshangaa baadae tukaja hundua ni ugonjwa....yaani addicted
Alafu sex adiction ni INVERSE PROPOTIONAL to Alcoholism!!!! Yaani watu wasikunywa WANAPENDA KUDINYANA HAOOOO! Coz ndo starehe yao kubwa! Haswaa watu wa dini wasiopenda ya DUNIA, basi akikuoa ujue KAZI UMEPATAAA!!! Kutwa mara 3 kama dozi ya dawa. (Ni mtazamo binafsi sio msimamo wa JF wadau, hamkawii kunipa za uso!!!!)
Sie wanywaji na walevi shurti UTAFUTE STIMU KWANZA ndo zile mambo zikoleeee mahali yake. ( Oooooopppppps!!!!! NILISAHAU KAMA MIMI NI UNUSED!!!!! The Boss)
.Duh !kwa hiyo na mm mgonjwa? lakini napiga shoo kwa my wife tu .ila some time anachoka sana.wapo, kuna mwanaume namjua, anaweza fanya asubuhi mchana jioni, kwenye gari kichochoroni na yoyote yule hachagui habagui....mwanzoni tulimshangaa baadae tukaja hundua ni ugonjwa....yaani addicted
Kuna
Kwenye normal ndipo wengi wetu tunapoangukia, lakini kuna hizo hyper na hypo ambazo zote ni kasheshe (according to normal people) na bora hao wacouple na normal at least maisha yanaweza kwenda kwa kuyasukuma; ila akutane hyper na hypo nina uhakika ndoa itakuwa mashakani.
- Hyper
- Normal
- Hypo
BTW kaka, babu yetu hajakurithisha hiyo addiction; maana ni bora wifi yetu mtarajiwa ajue ili ajue anachoenda kupambana nacho! LOL
Duh lara1,you are my DESIRABLE jamani,you are more or less perfect much to this thread.Sasa too much of it ni unhealthy or wrong kwa mtazamo wowote ule?
Je wakikutana Hyper kwa hyper inakuwaje?
Kuna
Kwenye normal ndipo wengi wetu tunapoangukia, lakini kuna hizo hyper na hypo ambazo zote ni kasheshe (according to normal people) na bora hao wacouple na normal at least maisha yanaweza kwenda kwa kuyasukuma; ila akutane hyper na hypo nina uhakika ndoa itakuwa mashakani.
- Hyper
- Normal
- Hypo
BTW kaka, babu yetu hajakurithisha hiyo addiction; maana ni bora wifi yetu mtarajiwa ajue ili ajue anachoenda kupambana nacho! LOL
Je wakikutana Hyper kwa hyper inakuwaje?
shosti hapo kwenye kutafuta stimu umenena!Alafu sex adiction ni INVERSE PROPOTIONAL to Alcoholism!!!! Yaani watu wasikunywa WANAPENDA KUDINYANA HAOOOO! Coz ndo starehe yao kubwa! Haswaa watu wa dini wasiopenda ya DUNIA, basi akikuoa ujue KAZI UMEPATAAA!!! Kutwa mara 3 kama dozi ya dawa. (Ni mtazamo binafsi sio msimamo wa JF wadau, hamkawii kunipa za uso!!!!)Sie wanywaji na walevi shurti UTAFUTE STIMU KWANZA ndo zile mambo zikoleeee mahali yake. ( Oooooopppppps!!!!! NILISAHAU KAMA MIMI NI UNUSED!!!!! The Boss)
Kuna
Kwenye normal ndipo wengi wetu tunapoangukia, lakini kuna hizo hyper na hypo ambazo zote ni kasheshe (according to normal people) na bora hao wacouple na normal at least maisha yanaweza kwenda kwa kuyasukuma; ila akutane hyper na hypo nina uhakika ndoa itakuwa mashakani.
- Hyper
- Normal
- Hypo
BTW kaka, babu yetu hajakurithisha hiyo addiction; maana ni bora wifi yetu mtarajiwa ajue ili ajue anachoenda kupambana nacho! LOL
kumbe na we mawazo yako yamelingana na mimi!hahahahahhahahhahaha muhimu kujua ujue!oh
Sasa dada Kaunga hii combination kwa vyovyote Hyper na Hyper ndio bora zaidi lakini katika hali ya kawaida hii tunaweza ita tabia,ugonjwa au vyovyote vile,je ni mbaya?
Mmmh dadaangu si unajua wazee wa kinyamwezi walikuwa wanakula "MAGANDO" ndio maana,sasa sisi generation yetu hii ya chips na burgers ndio maana tunatafuta na "boosters" ili kuongeza nguvu.