Si mpokoti wa Turkana huyo?
Kuna siku nilikuwa nasafiri nikakuta Mkenya anawaambia Wazungu mlima Kilimanjaro upo Kenya.
Tulibishana saana hadi akanuna...akaniambia Kenya wamefundishwa hivyo.
Wageni wanamwambia lakini mbona tunajua upo Tanzania anasema hapana. Tanzania wanaona kilele tu.