What is the alternative from a Tanzanian perspective? Did "mass prayer" work in Tz?
Niliona jarida la S.Africa, Mail&Guardian, limewaponda kweli kweli baada ya response yenu ya "kitaalamu" kwa kaugonjwa kadogo ka Corona. Hata Somalia kwa sasa wana "moral authority" zaidi yenu, ya kuikashifu nchi yeyote nyingine kuhusu vita dhidi ya COVID-19.