kinachoonekana hapo kwenye picha ni possible...kwamba ndege mbili zinaruka na kuna kamba ipo attached kwa ndege zote mbili
tafsiri ya watu humu ndani sio possible...kwamba ndege moja inaweza kuivuta nyingine kwa kamba..wakati inayovuta ikiwa active na inayovutwa ikiwa imezima engine
Ndege inapokuwa angani usawa wa mawingi hauwezi small object atached to it.... Hiyo kamba isinge onekana huko angani, otherwise wame ifanyia mishe na some apps kuiweka hapo ilipo