Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,575
Kuelimika kunapimwaje..!?Vipi kuhusu walioelimika..?
Nazungumzia kumiliki vyeti na Kuelimika.Kuelimika kunapimwaje..!?
Usije ukachanganya
Kumiliki vyeti na kuelimika,..
ni mambo mawili tofauti kabisa!
Waarabu mbona michezoni wako nyuma mno. Tungeona ndo wanaongoza kwenye ndondi, kikapu, olympics na kila mchezo. Ukizingatia hela ya kuwekeza wengi wanayo.Waislamu tupo vizuri sana katika michezo! Ni kujituma.
Mbnaaaa wewee hujafanikiwaa mzee utangazee taifaaaa au bado bado upate sponsorSalute! Madrassa tunafundishwa kujituma na ustaa