Education in what? Mtu aliyepata pesa KIHALALI hangeweza kuzipata kama hakuwa na elimu ya kumfanikisha kwenye hiyo shughuli iliyompa hizo pesa. Kwa hiyo lazima elimu inayozungumziwa hapa lazima iwe ile ya kumwezesha mtu kupata pesa. Dunia nzima, matajiri wengi wakubwa wana elimu ya kawaida tu-hata chuo hawajaenda. So, the correct education is much better than money.