zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,216
- 39,755
Kiranga kuna kitu kimoja huelewi au niseme hutaki kuelewa ni kwamba EXISTENCE ya MUNGU haiwi limited na implications za matatizo ya WANADAMU ni vitu viwili independent yaani GOD ana exist na bado ana upendo ila wanadamu wana shida zilizotokana na other factors other than love of GOD au Existence of GOD hivyo ilitakiwa uulize maswali mawili tofauti ila usifungamanishe maswali yasiyohusiana...... Na yote yana majibu sio kulazimisha kuwa Mungu akiwepo matatizo yasiwepo na matatizo yakiwepo Mungu hayupo usilazimishe virelateUnaelewa kwamba ukisharuhusu logical inconsistency na contradiction, umeruhusu kauli yako ya kwamba Mungu yupo imaanishe kwamba Mungu hayupo?
Duh English ya kishetani imedinda hata PHILOSPHER NITCHE ALIYESEMA GOD IS DEAD HATAELEWA(Namby pamby malarkey ha ha kazi ipo!She is a namby pamby and can not support her malarky of negative god to point of using ignore option when she is flabbergasted and doesn't know what to do.
CC: Free ideas
Mtu gani asiyejua shida ulimwengu huu?Mkuu nilishajibu hili swal
Mkuu nilishajibu nimesema soma post za page ya nyuma hapo utaona ila yeye amesema NAHUBIRI sio kujibu sasa cjui anataka nitoe sababu gani
Ni hivi
1. Kiranga amesema Hakuna Mungu kwa sababu character moja wapo ya MUNGU ni upendo hivo hayupo sababu kama yupo ilihali kuna EVIL duniani ina maana hana upendo hivyo concept ya uwepo wake inajicontradict hivyo Mungu hayupo!!!! Hiyo ndio initial hoja ya kiranga
Mie nikasema hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa yaani huwezi ukafungamanisha sababu za matatizo ya wanadamu na existence ya MUNGU ilihali ni vitu viwili vyenye sababu mbili tofauti.......nikupe mfano huwezi ukasema eti John sio mwanaume kisa siku moja alilala na mwanamke kitanda kimoja ila hakumfanya lolote!!! Does it make sense?? ila swali litamake sense ukisema KWANINI JOHN NI MWANAUME ILA ALISHINDWA KUMLALA YULE MWANAMKE???? sijui unaelewa nachotaka kusema
Sijui kwanni sieleweki nachotaka kusema...... Rephrase your theory ndio muulize sio kufungamanisha, nitoe mfano wa anachouliza kiranga kwa mara nyingine msiponielewa basi
Mfano natoa hoja shetani HAEXIST sababu sifa kuu ya shetani ni muovu hivo ina maana kama ni muovu mbona kuna wanadamu hawajui shida hasa wa ulimwengu wa kwanza na shetani hajawapa majanga/magonjwa/njaa.... hivyo kwakuwa hawana shida ina maana shetani sio muovu hivyo concept ya uwepo wa shetani imeshajicontradict thus shetani haexist!!!!!
Hivi hapo kuna mtu atanijibu kweli???
Mfundisheni Kiranga kuacha kucheza na lugha aulize maswali assertive sio kufungamanisha mambo mawili tofauti ili apunguze angle ya majibu that's insanity
Haahaaaa si unaona unavyohangaika..... Umesema huwezi pinga existence ya shetani kisa mtu mmoja hana shida vivyo hivyo huoni nikijibu kuwa huwezi pinga Mungu hayupo kisa mwanadamu mmoja au wawili wanateseka?? sasa which is which???Mtu gani asiyejua shida ulimwengu huu?
Shida ni nini kama unavyo idefine wewe?
Unaelewa ikiwa watu wote wa dunia hii hawajui shida, lakini kuna mmoja tu naye hajui shida, lakini kang'atwa na mbu mmoja tu sekunde moja tu, tayari hapo huwezi kujenga hoja kwamba shetani hayupo kwa sababu hamna shida, kwa sababu mmoja tayari kashapata shida kng'atwa na mbu?
Unaelewa nikikojolea ndoo ya maji ndoo, nusu uwe mkojo na nusu maji, nikchanganya, hutakiwi kunywa kilichomo kwenye ndoo kwa kusema kwenye ndoo kuna maji?
Kwa nini unataka kunywa maji yaliyochanganyika na mkojo kwa hoja kwamba hata kama maji yamechanganyika na mkojo ni maji tu?
Unajua kusoma?Haahaaaa si unaona unavyohangaika..... Umesema huwezi pinga existence ya shetani kisa mtu mmoja hana shida vivyo hivyo huoni nikijibu kuwa huwezi pinga Mungu hayupo kisa mwanadamu mmoja au wawili wanateseka?? sasa which is which???
Kama ww ulivyogeneralise kuwa ulimwengu kuna shida bila kueleza extent ya shida hizo na ndio nmequestion kuna watu wengi hasa walio ulimwengu wa kwanza hawana shida kama za kwetu huku ina maana kivp shetani kawaacha bila kuwadhuru??? Kama hajawadhuru si ina maana shetani hayupo maana kama angekuwepo si angewafutilia mbali na dunia nzima tungekuwa kma somalia tu....... Ongelea kwa mtu ambaye amelinganisha maisha ya Luxembourg na kibera then akafikia hiyo conclusion
Ungemjibuje???? Nataka uone kitu hapo..... nisaidie ungemjibuje ili huyo kapuku aamini shetani ana exist hadi Luxembourg
CHADEMA haina uwezo wote wala ujuzi wote, inaweza kuanzisha vita dhidi ya ufisadi ikashindwa.Au ifike mwaka 2050 vijana wawili wawe wanabishana hivi
CHADEMA haikuwahi kuexist maana CHADEMA character yake kubwa ilikuwa vita dhidi ya ufisadi hivyo kama ingeexist isingempokea Fisadi lowassa 2015.... Hivyo basi Kitendo cha kumpokea lowassa kinafanya concept ya uwepo wa CHADEMA ujicontradict wenyewe hivyo haikuexist
Hivi hapo atajibu nini si itaonekana kma kweli hakuna chama kiliwahi itwa CHADEMA kimewahi exist ?? Unaona aina ya maswali yako yanaweza tengeneza debate kwenye kila sekta ilihali ni baseless ...... sababu gani ?? unatengeneza angle ndogo ya majibu ilihali unajua ukiuliza
1. Does God exist
2. If GOD exists why are there problems yatajibiwa kwa ufasaha bila haja ya kufungamanisha
Na Hata hawa vijana wamgeuliza
1. Je CHADEMA iliexist ???
2. Je kwanni CHADEMA ilimpokea fisadi lowassa ilihali ilikuwa inapambana na ufisadi??....
Hapo lazima majibu yatakuja maana yana account 2 tofauti kabisa
Kama kuna aliyenielewa amueleweshe Kiranga kwa lugha anayeielewa mie sio mzuri kwenye oratory language
Elewa context ya swali kiranga linafanana na ulilouliza...... Ww hapo ungemjibuje huyo kijana??? Huoni ingeonekana CHADEMA haikuwahi exist irrespective iliweza au ilishindwa vita ya ufisadi??CHADEMA haina uwezo wote wala ujuzi wote, inaweza kuanzisha vita dhidi ya ufisadi ikashindwa.
Kukawa na ufisadi licha ya CHADEMA kuwa na vita ya ufisadi.
Mungu wako mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote naye anashindwa?
Soma majibu yako hapa alafu ukane ulichosemaUnajua kusoma?
Wapi nimesema "huwezi pinga existence ya shetani kisa mtu mmoja hana shida" ?
Unajua kusoma Kiswahili wewe?
Hivi hata ninachoandika kwa Kiswahili unaelewa?
Nikisema siwezi kujadiliana nawe kwa sababu hujui kusoma Kiswahili nitakuwa nakosea?
Unaelewa ikiwa watu wote wa dunia hii hawajui shida, lakini kuna mmoja tu naye hajui shida, lakini kang'atwa na mbu mmoja tu sekunde moja tu, tayari hapo huwezi kujenga hoja kwamba shetani hayupo kwa sababu hamna shida, kwa sababu mmoja tayari kashapata shida kng'atwa na mbu?
I concur with u brotherIn short, they do consciously embrace a god -- and it is "the self". Unfortunately many of them do not simply reject Christianity and proceed to mind their own business; they invest their energy in indoctrinating others into their viewpoints. Some, in fact, become evangelical in their fervor and aggressive in their approach. They clearly and desperately want adepts and they will invest time and money to accomplish their aim.
But what does the Bible say about atheists?
According to the Bible there is no such thing as being free from God and becoming independent. If one rejects Gods ways, he automatically joins the "other" camp and that camp is Satans camp. Satan is the Prince of the Power of the spirit that now works in the children of disobedience. (Ephesians 2:2).
Atheists are children of disobedience." They have no use for Gods commandments, though some may say that some commandments may have some "social value."
Atheism is therefore a philosophy that emanates from Satan. It leads to abandoning the true God and to idolizing the self. Furthermore it, at times, supports lifestyles which are dangerous and self-destructive.
CC: Free ideas, Eiyer Lisa Valentine tindikalikali @Left back-gunner
Mkuu wa chuo Samaritan Stefano Mtangoo
Kujibu swali la msingi la kichwa cha mjadala.
Atheism cannot be satanism.
1.To believe in Satan, in the traditional sense, one must believe in God. As Satan is the product of the God narrative per the Zoroastrian Good vs. Evil dichotomy.
2. Atheists do not believe in God.
3.Therefore, Atheists do not believe in Satan.
From that logic, people who believe in God believe more in Satan than people who do not believe in God.
Tuliza mpira siku ukifa utajua kwamba kila kitu ni uongo mtupu japo ni ukweli uliobadilishwa..... Mungu aandae moto wa kuchoma kiumbe alichokiumba..!??
in fact there are many christians and muslim gays than any other beliefs
Mkuu maalim kahtaan habari za siku.... ulipotea sana humu jukwaani..... Nakumbuka enzi hizo zile debate zako na ishmael asee nlikuwa sichomoki humu JF nasoma page by pageLate Ishmael gave you facts about Atheist. majority of them are gays
and for you being gay doesn't mean it's Too late to come back .
wake up sweetheart. Gays is nasty and filthy business.
Glad to be here buddyMkuu maalim kahtaan habari za siku.... ulipotea sana humu jukwaani..... Nakumbuka enzi hizo zile debate zako na ishmael asee nlikuwa sichomoki humu JF nasoma page by page
Welcome back
huyu kijana mwenye jina lenye maana mbovu ni kawaida yake kujichanganya halafu wakati huo huo akadhani kaandika points za maana sana ndio maana Mimi huwa ananikimbiaSoma majibu yako hapa alafu ukane ulichosema
Kwa jibu lako hili ulimaanisha existence ya shetani inaweza ikapimwa kwa unit moja tu..... Ila kwa MUNGU hapana haexist hata kama katika dunia nzima kuna mmoja kaona upendo wake???
Unaona unavyojicontradict.....
Na uliposema mkojo kwenye maji ndio ukazidi jichanganya zaidi..... Ikimaanisha kama kuna watu hata 2 wana shida inamaanisha Mungu hayupo si ndio maana yake ila kwa lucifer hao wawili wakiwa na shida irrespective ya dunia nzima kma hawajui shida basi anakuwa ameexist????
I hope umeona ulipojikanyaga
Hahahahaha Kahtaan how have you been brother,Glad to be here buddy
unfortunately Ishmael a.k.a Maxshimba yuko Jela kwa kosa la utapeli kwa kutumia jina la bwana. miaka 10. tayari katumikia miaka 4 bado mingi tu hatokuwemo humu.