zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,209
- 39,730
Hahahahhaha kiranga naona unafanya delay tactics ili mada ife sasa si nlishakubali makosa unachokimbia ni nini??Ukikosea, usiwe mtu rahisi sana kusema umekosea padogo au pakubwa.
Acha wengine wanaoona umekosea waseme hivyo.
Ikibidi wewe sema umekosea pakubwa tu, halafu wao wakiona padogo, wakwambie padogo.
Ni bora zaidi kuliko wewe kung'ang'ania umekosea padogo, kumbe wenzako wanaona pakubwa.
Mpaka hapa nishakuona hujui kujadiliana.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu hayupo, factually.Hahahahhaha kiranga naona unafanya delay tactics ili mada ife sasa si nlishakubali makosa unachokimbia ni nini??
Wwe jibu swali methodology gani ulitumia kumsaka huyo MUNGU alafu ukagundua ni fiction na haexist.....
Ni sawa na mmi niseme heaven or hell doesn't exist ilihali umekaa sebuleni tu ntaweza kuprove ila methodology ya kutumia ni kujiua ili ukishakufa ndio ujue kama Heaven ama hell ipo si ndio maana yake
Sasa unachokifanya hapa ni sawa na mfano wangu kuwa unataka mtu aprove kuwa hell ipo ilihali hujawahi kutumia right approach kuexperiment kama iko ama lah yaani kufa ili akagundue ukweli kama hell ipo am lah
So nakusubiri uniambie ulitumia methodology gani kuinvestigate existence ya huyo MUNGU ambaye unaconclude uligundua hayupo
Umejuaje hayupo ilihali hujatumia methodology inayotakiwa??Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu hayupo, factually.
Hakuna jinsi ya kumthibitisha Mungu huyo factually.
Hakuna jinsi ya kumuelezea Mungu huyo in a logically consistent way.
Hakuna jinsi ya kumuelezea Mungu huyo bilaya kuwa na contradiction.
Kwa sababu hayupo.
Methodology inayotakiwani ipi? Na umejuaje sijatumia methodology inayotakiwa?Umejuaje hayupo ilihali hujatumia methodology inayotakiwa??
Ww ni msomi nieleze umetumia methodology gani kwenye investigation yako alafu findings zako zikagundua Mungu hayupo
Nipe methodology sio maneno....twende kazi
Duh yaani ww umefikia conclusion ya kusema MUNGU hayupo which is fine sasa na mimi nataka nifanye rejea ya methodology ulizotumia ili nione kama ni sahihi ama lahMethodology inayotakiwani ipi? Na umejuaje sijatumia methodology inayotakiwa?
Wewe umesema mimi nimekosea, methodology yangu niliyotumia ni mbaya, ndiyo maana nimefikia conclusion mbaya kwamba Mungu hayupo.Duh yaani ww umefikia conclusion ya kusema MUNGU hayupo which is fine sasa na mimi nataka nifanye rejea ya methodology ulizotumia ili nione kama ni sahihi ama lah
Ni sawa na kusema unafanya research ya undergraduate alafu haina lets say literature review au data analysis je utasema hiyo tafiti ni credible??
So na mmi nahoji kuwa utafiti wako hauwezi credible mpaka utuambie methodology ulizotumia ili kugundua kama Mungu hayupo
Nasubiri sitaki maneno ww niambia ulianzia tafiti yako wapi ukaishia wapi na ulifikiaje kwenye conclusion
Am waiting
Umeuliza swali zuri sana Mkuu.Duh yaani ww umefikia conclusion ya kusema MUNGU hayupo which is fine sasa na mimi nataka nifanye rejea ya methodology ulizotumia ili nione kama ni sahihi ama lah
Ni sawa na kusema unafanya research ya undergraduate alafu haina lets say literature review au data analysis je utasema hiyo tafiti ni credible??
So na mmi nahoji kuwa utafiti wako hauwezi credible mpaka utuambie methodology ulizotumia ili kugundua kama Mungu hayupo
Nasubiri sitaki maneno ww niambia ulianzia tafiti yako wapi ukaishia wapi na ulifikiaje kwenye conclusion
Am waiting
Duh nani aliyesema Mungu hayupo??? Si ni wewe kiranga??? Na ukahitimisha kuwa umefanya utafiti umegundua hayupo sasa ndio nakuhoji kwamba ili na sisi tujue tunakusaidiaje tuwekee hapa methodology uliotumia let it be ulisoma biblia au ulifanya tafakari au ulienda kanisani au ulienda kumsaka kwenye pango lake analoishi ukamkuta hayupo ndio maana ukafikia kuhitimisha kuwa hayupo tupe procedureWewe umesema mimi nimekosea, methodology yangu niliyotumia ni mbaya, ndiyo maana nimefikia conclusion mbaya kwamba Mungu hayupo.
Mimi nataka kusema labda uko sawa. Labda nimekosea.
Yako nzuri isiyo na makosa ambayo inaonesha Mungu yupo ni ipi?
Iweke hapa tuichambue tuone.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ukikosea, usiwe mtu rahisi sana kusema umekosea padogo au pakubwa.
Acha wengine wanaoona umekosea waseme hivyo.
Ikibidi wewe sema umekosea pakubwa tu, halafu wao wakiona padogo, wakwambie padogo.
Ni bora zaidi kuliko wewe kung'ang'ania umekosea padogo, kumbe wenzako wanaona pakubwa.
Mpaka hapa nishakuona hujui kujadiliana.
Procedure gani uliyotumia kujua Mungu yupo?Duh nani aliyesema Mungu hayupo??? Si ni wewe kiranga??? Na ukahitimisha kuwa umefanya utafiti umegundua hayupo sasa ndio nakuhoji kwamba ili na sisi tujue tunakusaidiaje tuwekee hapa methodology uliotumia let it be ulisoma biblia au ulifanya tafakari au ulienda kanisani au ulienda kumsaka kwenye pango lake analoishi ukamkuta hayupo ndio maana ukafikia kuhitimisha kuwa hayupo tupe procedure
Kuhusu mimi kusema methodology yako ni wrong ni sababu mimi nimeprove kuwa MUNGU yupo sababu nilitumia procedure inayotakiwa na nikajua yupo sasa ww unaposema umegundua hayupo ina maana kwamba kuna process umeruka ndio maana umemkosa kwa hiyo sihitajiki niweke ila ww weka yako ili nikuonyeshe makosa yako maana ww ndio unadai umefanya utafiti wa kina so tunahoji utafiti wako why ssa unihoji mmi tena msomaji???
Nasubiri
Kiranga ukiulizwa swali jibu swali ndio rule of arguments and debates sio unaulizwa swali unajibu na swaliProcedure gani uliyotumia kujua Mungu yupo?
Hujajibu swlai hili.
Unarudia tu kusemaumetumia procedure inayotakiwakujua Mungu yupo.
Naona kakimbia maana alikuwa anataka kujificha kwenye kakichaka ka karanga kwa kun'gan'gania ile typing error Ila umemkomalia had kasepa hongeraKiranga ukiulizwa swali jibu swali ndio rule of arguments and debates sio unaulizwa swali unajibu na swali
Wwe ndio umeleta hoja kuwa Mungu hayupo nimekubali hoja yako sasa nimekuuliza umefanyaje huo utafiti wako hadi umegundua Mungu hayupo..... Sasa unaanza niuliza eti procedure ndio zipi Ilihali utafiti umefanya wwe
Narudia tena procedure huwa zipo unapotaka kugundua kitu mfano ukitaka kupima gravity basi utarusha kitu juu ili uone kma kitavutwa si ndio unaprove gravity ipo?? Sasa unaweza kaa sebuleni ukasema tu GRAVITY HAMNA bila kufanya kufanya experiment ndogo ya kurusha kitu juu????
Ndio maana nakuhoji umefikiaje conclusion kuwa Mungu hayupo..... So jibu swali na mmi ntakujibu maswali yako yote maadam mie ndio wa kwanza kuhoji utafiti wako
Hapa jamaa lazima atoboe[emoji3]Kiranga ukiulizwa swali jibu swali ndio rule of arguments and debates sio unaulizwa swali unajibu na swali
Wwe ndio umeleta hoja kuwa Mungu hayupo nimekubali hoja yako sasa nimekuuliza umefanyaje huo utafiti wako hadi umegundua Mungu hayupo..... Sasa unaanza niuliza eti procedure ndio zipi Ilihali utafiti umefanya wwe
Narudia tena procedure huwa zipo unapotaka kugundua kitu mfano ukitaka kupima gravity basi utarusha kitu juu ili uone kma kitavutwa si ndio unaprove gravity ipo?? Sasa unaweza kaa sebuleni ukasema tu GRAVITY HAMNA bila kufanya kufanya experiment ndogo ya kurusha kitu juu????
Ndio maana nakuhoji umefikiaje conclusion kuwa Mungu hayupo..... So jibu swali na mmi ntakujibu maswali yako yote maadam mie ndio wa kwanza kuhoji utafiti wako
Can you prove existence of god?Nasimamia uwepo wa Mungu.
Wacha tusubiri sasa atakuja na chenga gani[emoji3]
Can you prove non existence of god?Can you prove existence of god?
Kwa hoja za kiranga umemuuliza swali jepesi sana. Umeweka link nikajua ume mbana kiranga.swali hilo ukisoma maelezo yake tayari kaisha jibu
Kitu cha kwanza, tuelewane tunapoongelea Mungu tunaongelea nini.Kiranga ukiulizwa swali jibu swali ndio rule of arguments and debates sio unaulizwa swali unajibu na swali
Wwe ndio umeleta hoja kuwa Mungu hayupo nimekubali hoja yako sasa nimekuuliza umefanyaje huo utafiti wako hadi umegundua Mungu hayupo..... Sasa unaanza niuliza eti procedure ndio zipi Ilihali utafiti umefanya wwe
Narudia tena procedure huwa zipo unapotaka kugundua kitu mfano ukitaka kupima gravity basi utarusha kitu juu ili uone kma kitavutwa si ndio unaprove gravity ipo?? Sasa unaweza kaa sebuleni ukasema tu GRAVITY HAMNA bila kufanya kufanya experiment ndogo ya kurusha kitu juu????
Ndio maana nakuhoji umefikiaje conclusion kuwa Mungu hayupo..... So jibu swali na mmi ntakujibu maswali yako yote maadam mie ndio wa kwanza kuhoji utafiti wako
YAHWEH au kwa kiswahili MUNGU ndio anaongelewa hapaKitu cha kwanza, tuelewane tunapoongelea Mungu tunaongelea nini.
Dhana ipi embu itaje hapaKwa sababu dhana ya kuwepo kwake, tukiilinganisha na tunayoyaona, inajipinga yenyewe.
.
Ila huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu, hayupo.