Irrigation engineering!!!!!

Irrigation engineering!!!!!

morachax

Member
Joined
Nov 12, 2014
Posts
17
Reaction score
2
jamani naomba kuuliza ni chuo gani kinatoa hiyo kozi kwa ubora kabisa
 
Irrigation and water resources Engineering nenda SUA lakini Vyuo vingi kwa sasa vinatoa hiyo kozi.
 
hiyo kozi SUA ipoo ..
Kwa maelezo zaidi ngoja tumuite brother upepo wa Pesa.
cc upepo wa pesa
 
Nimefika mkuu wangu!!
jamani naomba kuuliza ni chuo gani kinatoa hiyo kozi kwa ubora kabisa
Hii kozi unatolewa na vyuo vitatu hapa Tz. Cha kwanza ni SUA ambao wao irrigation ni major course, cha pili ni ATC ambao wao wame major kwenye civil ila wame minor kwenye irrigation(hawa wanachukua watu wa diploma na sio alevo) na cha mwisho ni chuo cha maji dsm hawa wao wame major kwenye maji na ku minor kwenye irrigation=!

Unapoongelea irrigation unaongelea kilimo na unapoongelea kilimo SUA ndio nyumban kwake!!

NB: Kama unataka elim nenda SUA ila kama wewe ni lele mama usiguse huko!!
 
Sitaisahau SUA katika maisha yangu, loh
 
Shukrani Mkuu. .
Hope ashaelewa kijana wetu .
Nakumbuka mwaka jana ulitusaidia sana wakati wa selection.
 
Back
Top Bottom