clinton daniel Member Joined Feb 28, 2019 Posts 5 Reaction score 1 May 6, 2019 #1 Naomba kujua makampuni yanayohusika na mambo yaliyondani ya kozi hiyo, pia kwa wanoijua vizuri kozi hii walau tushare ideas
Naomba kujua makampuni yanayohusika na mambo yaliyondani ya kozi hiyo, pia kwa wanoijua vizuri kozi hii walau tushare ideas
Truth Teller JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 1,621 Reaction score 2,920 May 7, 2019 #2 clinton daniel said: Naomba kujua makampuni yanayohusika na mambo yaliyondani ya kozi hiyo, pia kwa wanoijua vizuri kozi hii walau tushare ideas Click to expand... Ni kozi Nzuri Sanaa Ila huwa Ina bamba Kama ukichukua Civil and Water Resource Eng. Kazi zipo,kwenye makampuni yoyote ya ujenzi na hata kwenye Idara za serikali hususani za Maji,Kilimo na ujenzi (Majengo na Barabara) Hujawa specific zaidi
clinton daniel said: Naomba kujua makampuni yanayohusika na mambo yaliyondani ya kozi hiyo, pia kwa wanoijua vizuri kozi hii walau tushare ideas Click to expand... Ni kozi Nzuri Sanaa Ila huwa Ina bamba Kama ukichukua Civil and Water Resource Eng. Kazi zipo,kwenye makampuni yoyote ya ujenzi na hata kwenye Idara za serikali hususani za Maji,Kilimo na ujenzi (Majengo na Barabara) Hujawa specific zaidi
Nicklaus JF-Expert Member Joined Sep 24, 2014 Posts 464 Reaction score 460 May 11, 2019 #3 Hyo kozi inapeta zaidi kwenye makapun binafs especially sugar industries , mtibwa, TPC, kagera na kilombera. Najua Sua pekee ndo inatoa hyo Kozi na uchukuliwa directly kila mwaka, sio wote ila
Hyo kozi inapeta zaidi kwenye makapun binafs especially sugar industries , mtibwa, TPC, kagera na kilombera. Najua Sua pekee ndo inatoa hyo Kozi na uchukuliwa directly kila mwaka, sio wote ila
upalala JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 317 Reaction score 224 May 13, 2019 #4 Iko vizuri hata mwenyewe nimepiga water resource and irrigation Engineering