ni iris part 2 amabyo ipo season ya kwanza na ya pili na mastaaa waliojirudia ni 3 tu and nayo ni nzur kias, na star mkuuu ni mpya ambaye ni mtoto wa bak san aliyemuuza kim hyun
Wapelekee Buku 5 machinga wa Congo kama upo Dar....hata mimi ya kupakuwa niliona inazingua, nikaenda kuwapa chao....burudaaaaani!eban mkuu hii ngoma ya IRIS naitafuta tokea season 1 cjawahi icheki na kila nikijaribu kuipakua mtandaoni inakuwa zengwe jamani.......
Ukipata IRIS, pata na Athena kabisa....utapenda tu!mmenishawishi jamn am gonna watch t t t t..IRIS
Part II? Are you talking of Athena au IRIS kama IRIS?ni iris part 2 amabyo ipo season ya kwanza na ya pili na mastaaa waliojirudia ni 3 tu and nayo ni nzur kias, na star mkuuu ni mpya ambaye ni mtoto wa bak san aliyemuuza kim hyun
Iris ya mwisho ni season 2.Athena nayo ni series nyingine tofauti kabisa!
mimi nimetizama iris na athena nimeona km story zinafanana vile, ila ni mojawapo ya movies nzuri sana niliokwisha kuzitazama, ngoja nitafute huo muendelezo wa athena kwanza.Ukipata IRIS, pata na Athena kabisa....utapenda tu!
Ngojea niangalie kama mbeya zimefika
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums