Iringa vijijini mnazingua

Ahaaaaaaaaaaaa ! Balaaaa ! Tena balaa kubwa !
 
Vijana mna kazi kubwa sana...

Safari kama hizo inatakiwa unafanya importation kutoka mahali fulani, Dsm, Dodoma n.k

Sasa hao wapiga ulanzi utawaweza
 
Vijana mna kazi kubwa sana...
Safari kama hizo inatakiwa unafanya importation kutoka mahali fulani, Dsm, Dodoma n.k
Sasa hao wapiga ulanzi utawaweza
Nilidhani kumechangamka as town mkuu
 
Huko mboga zipo wakati wa mavuno ya mpunga malaya wote wanakimbilia huko,umefikia Itunundu au??
 
Ukiingingia kichwa kichwa kwa hizo nyege zako utakuja liza familia yako. Kuna mahali ukienda tumia ubongo kufikir usitumie hisia. Yaana huna tofauti na yule teja mchomoa battery kwenye gari la mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…