mmemsahmbulia bure kwani hili jukwaa si kila siku mnaongelea maisha ya watu, mara flani kafanya hivi, mara sijui nani ana scandal hii mara weka CV ya flani nashangaa iweje mmemshambulia aliyeleta hii thread.
Duuh jf kweli ina mambo sijui watu uwa wanafuata upepo wa mtu anaye comment akiwa wa kwanza kwenye thread