inaonesha hujiamini, msomi hapaswi kua hivyo, hiyo kozi ni nzuri. Kasome kijana! Kila kada ina umuhimi wake katika ujenzi wa taifa. Alaf swala lengine, hiyo kozi unajifunza maswala ya enviromental na development planning. So kuna advantage mbili. Karibu irdp.[/QUOTE