Je hapo kuna channel yoyote kati ya hizo umejarbu? Luna iliyokuwa active mpaka sasa..
Je unaweza kushare channellz unazozifaham ambazo zipo active zinazohusu hizi mambo (hacking)?
Maendeleo mazuri, wachache sana wapo, wengi wanashindwa kujiunga. Mi naona ni uvivu wa kufuatilia namna ya kufanya configurations hizo mpaka kuingia kule. Ni mambo madogo madogo tu.
Jaman me ni beginer yaan sijaelewa kitu ila ngoja niingie tu nianze na hatua ya kwanza nitakapoishia ntatoa taarifa mnisaidie maan nimejaribu kupitia comment zote lakin bado mambo magumu