STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,601
Hili bandiko hujalitendea haki MKUU ilitakiwa lijitegemee
Sent using My COVID-19
Duh mkuu tuna katishana tamaa na sisi tuna taka tuone kabla hatujafa!Na sisi Tz mwaka 2500 tutarusha satellite yetu.
Sent using Fly in any Weather.
Maisha yana endelea mkuuWalisha acha kulamba lamba madhabahu kama dawa ya Corona.
Dah wamezngua sana asee[emoji34][emoji34][emoji35][emoji35][emoji36]
Marekani waliokufa kwa Corona hadi leo hii imefikia 45000...kufikia 22/may huenda wakafika 115000...
45000+70000=115000
Tushawazoea asew hawaja anza jana walaleo nawala hawata malizia leo...Nimesikia Marekani wanalitaka baraza la usalama la Umoja wa mataifa waiwekee Iran vikwazo.
Hujawatendea haki sio inawaumiza sema inawaumiza sanaa.wamarekani wa mtogole inawaumiza hii
Iran launches its first military satellite