Saddam alisema hivi hivi akapigwa mpaka chumbani kwake.....mtaishia hivyo na propaganda zenu za kujifariji kwani kuna mtu asiyeogopa vita kama watu wa israel wangekua hawaiogopi iran wangekua wameshashambulia tangu mwaka uliyopita hla kutokana na hofu ya matokeo ya vita hyo anapata upinzani kwa viongozi wenzake hadi wananchi wakawaida hawataki vita na iran wataishia kushambulia gaza.
Saddam alisema hivi hivi akapigwa mpaka chumbani kwake.....
Ile mijamaa hatari na ni mibabe ya vita enzi na enzi.....
Kitambo tu IRAN wangekua washachapwa...tatizo OBAMA amekua soft boy sana hapendi purukushani....kama wababe waende waache kupiga makelele.
mtaishia hivyo na propaganda zenu za kujifariji kwani kuna mtu asiyeogopa vita kama watu wa israel wangekua hawaiogopi iran wangekua wameshashambulia tangu mwaka uliyopita hla kutokana na hofu ya matokeo ya vita hyo anapata upinzani kwa viongozi wenzake hadi wananchi wakawaida hawataki vita na iran wataishia kushambulia gaza.
Kitambo tu IRAN wangekua washachapwa...tatizo OBAMA amekua soft boy sana hapendi purukushani....
Saddam alisema hivi hivi akapigwa mpaka chumbani kwake.....
Ile mijamaa hatari na ni mibabe ya vita enzi na enzi.....
Na kilichomkuta anajua mwenyewe huko aliko.....Chezeya mizayuni wewe....Gadafi alitembeza mkwara akiwa kwenye mtaro wa maji machafu......
ndio maana nakwambia israel anaogopa kuishambulia iran,mbona kuishambulia syria na sudan ameenda mwenyewe hila iran anataka apewe support na us,france,nato na uk anajua akienda mwenyewe nini kitamtokea nyinyi mpeni kichwa apeleke ndege kama alivyopeleka syria na sudan.