Iranian military tests suicide drone

Iran wapo vizuri sana yani pamoja na vikwazo vyote hivi lakini bado wanatengeneza silaha nzuri tu safi sana, bravo Iran

israel yeye mpk apewe tegemez xana hao mahazeir
 

si bure una mapungufu! acha wivu ww
iran wana teknolojia kuliko hata hao mayahud tegemez
 
This is an old fart sort of news, why bring back?
 
unapoulza swali 2mia akili uciulze maswal ya kipunguani
 
Labda kwa maoni yangu Mimi ninavyoona wasioaminika ni Israel na Marekani kwa sababu ni waanzilishi wa vita nyingi ila sio iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…