Hiyo ya kusema Iran inaungwa mkono na jamii kubwa ya kimataifa ni uwongo mkubwa. Ni nchi gani zinaiunga mkono Iran? Iran ndiyo nchi yenye maadui wengi Duniani kuliko nchi yoyote. Iran ndiyo nchi inayoongoza kuwa na wakimbizi wengi Duniani kuliko nchi yoyote.
Wapalestina walikuwa wakiungwa mkono na mataifa mengi kabla ya Hamas. Uungwaji mkono huo ulipungua sana baada ya Iran kuanzisha kundi la kigaidi la Hamas. Wapalestina walikuwa wamekndoka kwenye hatua ya kuuawa, walikuwa kwenye mamlaka huru yenye serikali yaje, Hamas ikaja kuharibu kila kitu.
Sikia ndugu Iranian inaweza wkt wowote kuisambalatisha iyo Israel
Lkn Wairani ni watu wenye Akili sana Duniani
Wanafanya mambo kwa mpangilio wenye kutumia fursa vyema
Sikia.
Pale Pakistan jana kumetokea BOOM
Waislamu wa Shia wanawindwa sana kwanzia Pakistan mpaka Afghanistan
Kwanini ❗️
Kimtazamo Waislamu wa Suni ambao ndio wengi Duniani wanawaona Waislamu wa Shia kama Wanafiki na wanapotosha Dini yenyewe ya Kiislamu kwenye kuelewa maana ya kile
kimeandikwa
Pamoja na Waislamu wa Suni kuwa wengi Duniani nchi zenye nguvu kama Misri Uturuki Saudi Arabia Indonesia Malaysia nk
Waislamu na Waraabu kwa wingi wao kidonda chao kikuu kwasasa ni Israel
Iranian inajua kizazi cha Waislamu wa Suni kwanzia vijana wasasa mpaka kizazi chenye umri kufikia miaka 70 chote kinaumizwa sana na Israel 👈
Lkn nguvu za kutatua tatizo hawana kwasasa
So matendo ya kikatiri ya Israel kwa Wapalestina
kwanamnamoja
Iranian inayatumia kujijenga kwa Waislamu wa Suni kama yeye ndio mtetezi pekee wa Palestine kidonda cha Waislamu
wengi Duniani👈
na wale wapenda Amani Duniani
Kama umenielewa nje ya Israel
Waislamu wa Suni Duniani wataelekeza nguvu zao kuisakama Iran 👈
ndiomana Pakistan Mabomu ayaishi kwenye maeneo wapo SHIA kwenye misikiti yao Shia wanawindwa Mashuleni kwenye Arusi zao nk
kila mkusanyiko wa Mashia
ni Hatari 😥😥
So Iranian kama kuishinda Israel mikakati yake sio sasa👈
kwanza Kuwafitinisha Tawala za Kiarabu na Wananchi wao waiyone Iranian ndio Mtetezi wa kweli wa Palestine
Kuungwa mkono kwa Iranian mpaka na Waarabu vijana na Waislamu wa Dunia ni Ushindi mkubwa kwa Iranian
Manake Tawala za Kiarabu jiran yake atazifagia na kuweka Vibalaka wake ili kuongoza aya Mataifa mfano wa Iraq kwasasa Iranian inaushawishi mkubwa pale
Sasa bado Kuwait Bahrain UAE Qatar Misri Morocco
Saudia Arabia
Na Israel zinaweza kuchukuliwa kwa kufatana !
Kwanini ni muhimu kwa Iranian kuziangusha kwanza Tawala za kisuni jiran yake kabla ya Israel
Fahamu kumbuka nje ya
Israel 👈
adui mkuu wa Waislamu w Suni ni Iran sio mwengine yoyote 👈
Wenye Elimu kubwa ya Kidini ya Kiislamu wanasema Iranian ndio Wayahudi Og wale wapo kwenye Vitabu vitakatifu vyote manake ndio wenye Akili zaidi Duniani 👈
miaka ijayo ya mbele sana
baada kuzikwa kadhia ya Israel FAKE yasasa👈
na kutokea apo kutazaliwa Iranian ambao ndio sehemu ya Makabila ya Bani Israel OG lilipo kwenye Vitabu vitakatifu 👈
Watatawala kwa mkono wa Chuma ilo eneo lote la Mashariki ya Kati mpaka Israel yasasa👈
Swali je watashindwaje
Kushindwa kwa Iranian ni kutokea kwa vijana wa kisuni Mujaidini
kizazi kipya cha Vijana kitakuta adui yao mkuu ni Iranian👈
so watajielekeza kupambana na Iranian tu mpaka mwisho Iranian watashindwa 👈
So Iranian inatumia fursa vizuri kimkakati na Israel inajua Ajenda ya Iranian kwamba lengo lao sisi ni wa mwisho kuliwa na SIMBA 👈
Iranian kamwambia tu Israel kwasasa usipige mji mkuu Beirut
Toka apo mpaka sasa Israel imeacha kupiga Beirut 👈
Na kwakua Israel ishajipima mara kadhaa na Iranian mwisho wanakimbia Vita
wenyewe❗️
Israel kwasasa imegundua bado hawezi kupigana na Iranian imebidi kuwacha Vita👈
Na walijua Iranian watawaacha kuwashambulia Sababu ile nimewaambia
Israel inadijua yeye inatumika na Iranian kupata Ushawishi zaidi kwenye iyo Kanda👈
Lkn Israel hii Fake sio wajinga kiivyo wanatumia kila nafasi ipo mbele yao wakijaribu nawao kutafuta mikakati ya kuishinda Iranian👈
ikiwemo kumchelewesha Iranian kuyatwaa Mataifa ya
Kiarabu!👈
Israel inatoa misaada popote kumzuiya Iranian
kuweka kibalaka kama pale Iraq wasiende na kwengine👈
Madai yako je Iranian imefanikiwa au lah
kwenye Ushawishi ❗️
Iranian imefanikiwa sana kwenye Mikakati ya Ushawishi Duniani uku yeye akionekana yupo Mstari wa mbele kuipigania PALESTINE
Tumeona kwa mara ya Kwanza Maandamano makubwa Kwenye Mataifa ya miji ya Ulaya na MAREKANI 👈
kwenye Universities nyingi na zenye hadhi kubwa Duniani wakisapoti PALESTINE
Kabla yake Maandamano yalikuwa kwenye nchi za Kiislamu tu👈
Leo yoyote ukimuuliza ni nchi gani yenye kuipigania PALESTINE utajibiwa ni Iranian 👈
Mana niyeye tu pakeyake mwenye uwezo wa kuiitwanga miji ya Israel kutokea kwake nyumbani❗️ ndio pekee mwenye
kufanyaga ivyo👈
Hamas sio zao la Iranian ❌️
Ni zao la Mossad ya
Israel ✅️
Lkn Mossad baadae wakakosa Udhibiti wake ❗️
Qatar wakaitwaa na kuifoundation kipesa nk. ✍️