Iran yamkamata jasusi wa Mossad

kama watu wanaingia iran wanaua wanasayansi mchana kweupe kbs ndan ya iran kbs tena barabaran tech gan wanayo waajemi ambayo myahudi haijui na uwenda hata tech za iran myahudi hzo field alshapga ktambo yuko level zngn uko.
hakuna intelligence services ambayo ipo makini kwa 100% ndio maana hata Israel pamoja na kuizunguka Gaza lkn bado kuna silaha zinapenya

Alafu wanasayansi wa iran wanaishi social saana na huwa wanaona ni ufahari kufa shahidi
 
kumbe? Aisee uliwahi kuish iran nn maana naona mpk unajua vle wanasayansi wa huko wanaishje au kama ulisoma mahali hebu tupe link tujionee vle wanaish social.

Ukja na link unitag plz
Mwenye link wamempa ban
 
Hivi watu huwa wanaichukuliaje uajemi (Iran)? Wanajua ndo dola kongwe duniani? Je wanajua kuwa asili ya race ya mzungu ni muiran alizaa na mhindi ndo akatokea mzungu? Mnadanganywa sana na imani za kidini
 
yule mwanasayansi wao aliuawa akiwa wp vile?
Na iran wanahisi ni kna nani walimuua vle?
Jamaa hayasema kwamba Iran ipo 100% safe and secure ila alichokisema ni kwamba wapo vizuri sana katika upande wa upelelezi na kukamata mamluki wa kigeni
 
Habari imekaa kishambenga sana. Source hamna umejitungia

Halafu umkamate jasus wa mossad kizembe namna hiyo na netanyahu anawaangalia tu. Hebu toka hapo masjid rudi nyumbani ukanywe uji kwanza.
 
Mwenye link wamempa ban
huyu kaja na mengne ya kwmb wanasayansi wa iran wanaish social tu ktaa ndo myahudi anawafyeka krahisi eti pia hao wanasayans wanapenda kufa kwa style hiyo. Ndo nimemwambia alete link ya haya aliyoyasema kayajulia wp wkt yupo hapo vingunguti au aliwahi kuish tehran aseme hapa.
 
Kwahyo huyu anajua kupigana?.
 
Wakuu
kwa mshangao na maskitiko makubwa huyu kimsboy baada kwenda kule fb akasearch jina langu akalipata el ohinu ksha akachukua pcha zng kama 3 akazleta humu kwny post yake hii huku aktamba kwmb taikmbia mwanza nisjdai kujua hyo ni baada ya kum challenge hapa
huyu ndugu kimsboy nimepata taarifa kachukua pch yangu fb na namba yng ya cm iliyoko fb kisha kaenda kwny grp huko fb linaitwa mashoga wa mwanza kapost huko kwamba mimi ni shoga natafuta mwanaume

Hilo grp hata slijui kbs ila taarifa hz nimezpata kwa jamaa mmoja ambaye alinpgia akdai eti mi ni shoga natafuta wanaume nikamdadisi ndo akanambia taarifa kaitoa wp
nimesharipoti polisi jion ya leo nimetoa maelezo na nimepewa rb namba pia jna la aliyepost nimeliwaslisha japo najua hawataweza chunguza lakn itanisaidia kuwa safe.

Ndo hali halisi imenibd nifute akaunt yng ya fb tu japo najua ameshanichafua.
 
Pole saana ndugu umefanya maamuzi sahihi kumlipoti huyu maulamaa mwenzetu
 
kama watu wanaingia iran wanaua wanasayansi mchana kweupe kbs ndan ya iran kbs tena barabaran tech gan wanayo waajemi ambayo myahudi haijui na uwenda hata tech za iran myahudi hzo field alshapga ktambo yuko level zngn uko.
Wanauliwa maraisi marekani je mwanasayansi wa Iran? Kwani kuuwa ni timing tu mkuu
 
Usituletee mambo ya fb humu, ww una uhakika gani kama ni yeye, nenda fb huko kwa watoto wenzako
 
Duuuuuu!!!!!!! Mmefika mbali sana wadau, tunapotofautiana humu jamvin tuwe tunavumiliana
 
Duh... pole sana mkuu,huyu bwege ana spirit ya kijahidina ya kuua watu ni mpumbavu sana
 
Usituletee mambo ya fb humu, ww una uhakika gani kama ni yeye, nenda fb huko kwa watoto wenzako
ngoja niskujbu tu maana kujbzana na wewe ni sawa najizalilisha endelea kuish hapo kwa shemeji yako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…