Iran yaishikilia meli ya mafuta ya Korea Kusini, Marekani yatoa onyo

one wisow

JF-Expert Member
Sep 9, 2019
1,216
1,795
The U.S. State Department has reportedly called on Iran to immediately release a South Korea-flagged tanker that it detained.

According to Reuters, the department made the call in a statement on Monday, criticizing the Iranian regime for threatening navigational rights and freedom in the Persian Gulf.

A spokesperson of the department said in the statement that the Iranian moves are part of a clear attempt to extort the international community into relieving the pressure of sanctions.

The spokesperson then said the U.S. joins South Korea's call for Iran to immediately release the oil tanker.

The statement came hours after the tanker, MT Hankuk Chemi, was seized by Iran's Revolutionary Guards Corps in the Strait of Hormuz for alleged violations of environmental laws on Monday.
 
Ishu ni kwamba iran ilikua ikiiuzia south korea mafuta na wakifanya biashara zingine,,iran ilikuwa ikilipwa pesa na south korea kupitia account iliyopo huko south korea.

Sasa tangu mwaka jana kwa maelekezo ya marekani,south korea wakafreez account ya iran bank ambayo ilikuwa na dola bilioni 8,,kila iran ikiomba korea wawalipe pesa zao,wakorea wanajifanya hawana time.

Kumbe iran walikuwa wakiwinda kunasa asset ya mkorea.

Ndo jana sasa wameinasa hiyo tanker.

Yaani hiyo hairudi mpaka kieleweke.
 
Iran katika vitu ambavyo haijali ni mikwara mbuzi kutoka US au mataifa ya EU. Yaani hapo ndo imetoka mpaka Korea akubali wakae wazungumze.
 
Ishu ni kwamba iran ilikua ikiiuzia south korea mafuta na wakifanya biashara zingine,,iran ilikuwa ikilipwa pesa na south korea kupitia account iliyopo huko south korea.

Sasa tangu mwaka jana kwa maelekezo ya marekani,south korea wakafreez account ya iran bank ambayo ilikuwa na dola bilioni 8,,kila iran ikiomba korea wawalipe pesa zao,wakorea wanajifanya hawana time.

Kumbe iran walikuwa wakiwinda kunasa asset ya mkorea.

Ndo jana sasa wameinasa hiyo tanker.

Yaani hiyo hairudi mpaka kieleweke.

Kazi ipo ila Iran wabishi sana wale jamaa halafu sio waoga kabisa
 
Ishu ni kwamba iran ilikua ikiiuzia south korea mafuta na wakifanya biashara zingine,,iran ilikuwa ikilipwa pesa na south korea kupitia account iliyopo huko south korea.

Sasa tangu mwaka jana kwa maelekezo ya marekani,south korea wakafreez account ya iran bank ambayo ilikuwa na dola bilioni 8,,kila iran ikiomba korea wawalipe pesa zao,wakorea wanajifanya hawana time.

Kumbe iran walikuwa wakiwinda kunasa asset ya mkorea.

Ndo jana sasa wameinasa hiyo tanker.

Yaani hiyo hairudi mpaka kieleweke.

Hahahaha
 
Iran hana akili analipwaje ela ibaki nyumbani kwa mteja??
 
Ishu ni kwamba iran ilikua ikiiuzia south korea mafuta na wakifanya biashara zingine,,iran ilikuwa ikilipwa pesa na south korea kupitia account iliyopo huko south korea.

Sasa tangu mwaka jana kwa maelekezo ya marekani,south korea wakafreez account ya iran bank ambayo ilikuwa na dola bilioni 8,,kila iran ikiomba korea wawalipe pesa zao,wakorea wanajifanya hawana time.

Kumbe iran walikuwa wakiwinda kunasa asset ya mkorea.

Ndo jana sasa wameinasa hiyo tanker.

Yaani hiyo hairudi mpaka kieleweke.
Muiran kwa nini asitumie pesa yake akaacha kuinga'ang'ania dola ya Mmarekani
 
Ishu ni kwamba iran ilikua ikiiuzia south korea mafuta na wakifanya biashara zingine,,iran ilikuwa ikilipwa pesa na south korea kupitia account iliyopo huko south korea,,
Sasa tangu mwaka jana kwa maelekezo ya marekani,south korea wakafreez account ya iran bank ambayo ilikuwa na dola bilioni 8,,kila iran ikiomba korea wawalipe pesa zao,wakorea wanajifanya hawana time,
Kumbe iran walikuwa wakiwinda kunasa asset ya mkorea,
Ndo jana sasa wameinasa hiyo tanker,,
Yaani hiyo hairudi mpaka kieleweke..
Hairudi mpaka kieleweke? Mkuu kwani wewe ni kiongoz ndani ya Serikali ya Iran mpk utoe tamko hilo? Kwamba hairudi na itakaporudi itakuaje?

Tatizo mihemko ya kidini imekujaa ndo yaleyale mlidai humu iran atalipa kisasi kwa myahudi mara sjui wanamgambo ya lebanon watawapga wayahudi mpk leo kmy. Kingine knachonishangazaga humu ni kujiaminisha iran anaweza kumpga marekan wkt iran hata hao wakorea wakiliamsha dude wazchape iran anaweza potezwa vibaya sana.

Mbabe wa marekani kwny medan ya vita ni urusi pekee nae zkpgwa kwasababu za kiuchumi mwsho wa sku urusi atapotezwa japo itakua ni hasara kubwa sn kwa pande zote. Kama iran ni jeuri alipe kisasi kwa myahudi tuone huo mtanange.
 
Ishu ni kwamba iran ilikua ikiiuzia south korea mafuta na wakifanya biashara zingine,,iran ilikuwa ikilipwa pesa na south korea kupitia account iliyopo huko south korea,,
Sasa tangu mwaka jana kwa maelekezo ya marekani,south korea wakafreez account ya iran bank ambayo ilikuwa na dola bilioni 8,,kila iran ikiomba korea wawalipe pesa zao,wakorea wanajifanya hawana time,
Kumbe iran walikuwa wakiwinda kunasa asset ya mkorea,
Ndo jana sasa wameinasa hiyo tanker,,
Yaani hiyo hairudi mpaka kieleweke..
..Sasa huoni huo ni utekaji?
 
Back
Top Bottom