Iran yaangusha F-35 ya Kimarekani

Kwani pointi yako hapa ni nini mkuu? Iran ameshinda vita?
 
Kuna 'search party' ya hiyo ndege huko Saudi Arabia,hizo habari za ilitua vizuri ni ku-dilute
 
Imeangukia wapi?...
T14 Armata HIMARS njoo mchukue takataka lenu huku limedunguliwa
Haijaanguka bhana..

T14 Armata
 
Imeangukia wapi?...

Haijaanguka bhana..

T14 Armata
Imeanguka wapi tukaichukue?
Yaani hapo cha umuhimu sio kuanguka, skrepa lenu liko kambini linafuka moshi

Tunachoangalia ni uwezo wa air defense za Iran kudetect, kutrack, kulock na kuhit F-35

F-35 stealth fighter ya mchongo 😅

Kama Iran tu wameweza kuidetect na kui-hit vipi China na Russia?
 
Usiwe mbumbumbu. Umeulizwa ndege imeanguka wapi, jibu swali.
 
Mlisema Iran haina Air defense tena na kwamba US inatawala anga sasa waliwezaje kuipiga hadi ikafanye emergency landing? Tuliambiwa hazionekani kwenye radar so hii inaprove kuwa ni uongo.
 
Kazi nzuri. Sasa Iran waongeze ulinzi kwa viongozi wao kama hawawezi hilo waje bongo tuwape hata Teeth kuwasaidia maana wanauwawa kama nzi.

"Msemaji wa IRGC auawa kwa shambulio la Anga, muda mfupi baada ya kumjibu Netanyahu"​

 
Bado hujasema mzee🤣 ndege inapigwa na air defense unasema imepata hitilafu hadi footage zimewekwa
Iranian outlets have published a statement by Iran's Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) confirming that Ali Mohammad Naini, the IRGC's spokesman, has been killed in a strike.

Naini held various high-ranking posts before becoming the IRGC's spokesman.

He previously served as a cultural adviser to the mayor and as deputy head of the Cultural and Social Department of Tehran Municipality in 2014, during the mayoralty of fellow IRGC veteran Mohammad Bagher Ghalibaf.

He was also former deputy commander of the paramilitary Basij Resistance Force for cultural affairs and former deputy commander of the IRGC for cultural affairs.
 
Usiwe mbumbumbu. Umeulizwa ndege imeanguka wapi, jibu swali.
Umekuwa mkali hautaki ukweli, F-35 ni kopo

Bajeti ya dola trilion 1.5 miaka 30 ya kubuni F-35

Mpango wa silaha uliogharimu zaidi katika historia ya binadamu

Wazo lilikuwa ni moja tu adui hawezi kuiona

Mamaé jana, Iran kathibitisha ulikuwa mpango wa kitapeli

Lockheed na matapeli wenzake Northrop na BAE wamepiga kibunda wamesepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…