Kakojoe ulaleHii habari nilikua nasubiri niiverify tayari media zote zimeverify CNN, ALJAZEERA na BBC
Hili ni pigo kubwa US kumbuka hii ndege gharama yake ni matrilioni ya pesa
Halafu jamaa wametumia mfumo w kawaida tu wa kiiran kuiangusha.
Tatizo la Wairan hayo mabaki watayachukua na soon watatoka na ya kwa Mpya wataaita "P-35"
[emoji599][emoji1130][emoji631] TRUMP: "Iran’s air defense is gone, no one is even shooting at us anymore."
REALITY: Moments ago, CENTCOM announced that a U.S. F-35 fighter jet was struck flying over Iran, with a pilot injured...
For the first time in HISTORY, an American F-35 jet has been hit.
Iranian air defenses are hitting our best jets.
Trump said today all of Iran’s defenses are destroyed.
[emoji599][emoji631][emoji1130] BREAKING: A Fifth Generation F-35 U.S. fighter jet was HIT over the skies of IRAN. An American soldier was injured as a result of the accident.
So much for the 'most advanced aircraft' in the world...
View: https://x.com/i/status/2034664031433150959
View attachment 3560222View attachment 3560223
Kakojoe ulale
mbona unajikana?Nenda ukafe
Uongo wa nini? Imepata hitilafuHii habari ipo confirmed pia
Baada ya masaa machache kutoka kuangushwa F-35 ya kwanza
Iran imepiga F-35 nyingine na hii ni kusini mwa Iran
Mliokua mnasema F-35 ni stealthy kiko wapi?
Hii inaitwa Game changer....Mauzo share na hisa za F-35 zimeanza kuporomoka kwa kasi
View: https://x.com/i/status/2034752873444053265
View: https://x.com/i/status/2034696848632418731
View: https://x.com/i/status/2034743882496319927
View: https://x.com/i/status/2034746144748601579
Hii imepigiwa kelele kuliko uhalisia wake 😄
Kwanza, taarifa kamili zinaonyesha ndege haikuangushwa, iliweza kutua salama na rubani yuko katika hali nzuri,
si “pigo kubwa” kama inavyopakwa chumvi, ni tukio la kawaida la kijeshi linalofanyiwa uchunguzi.
Video inayosambazwa na Iran ikiilenga F‑35 inaonekana imetengenezwa na AI, kama walichofanya siku chache zilizopita kutengeneza video za kushambulia meli za Marekani na kuzusha kifo cha Netanyahu.
Huwezi kulinganisha na Ayatollah kuweka rekodi ya kubamizwa ndani ya sekunde 40
Ila wanaotumia kuokoteza propaganda za USA ni muda wa maana sana?kimsboy hivi muda unaopoteza kuokoteza hivi habari so ungeutumia kwa mambo mengine?
Hii habari ipo confirmed pia