Ni sehemu nyeti za kijeshi...Iran wana haki ya kuruhusu au kukataa kuruhusu.the west wont trust them-
why didnt they allow observers into their plants?
mkubwa mkubwa tu-USA anataka heshima yakeNi sehemu nyeti za kijeshi...Iran wana haki ya kuruhusu au kukataa kuruhusu.
Lakini Iraq waliruhusu timu za Hans Blix, Scooter na matokeo yake yalikuwa yepi?
US na Israel ambao wenyewe wanamiliki silaha za nyuklia, ambao pia hawaruhusu ukaguzi wa plants,sites zao wanapata wapi kiburi na jeuri kutaka kuipekua nchi wanayoishuku tu?
Ripoti zote zilizotoka mpaka sasa hakuna inayoitia hatiani Iran kuwa ina mpango wa wa kuunda silaha za kinyuklia. Ni propaganda zaidi kuliko ukweli.
Lakini hata kama Iran itatengeneza silaha za nyuklia, tatizo liko wapi? Ukiwa na nyuklia, unaheshimika.
Angalia Gaddafi alipoacha mpango wa nyuklia..Saddam pia....hata Korea ya Kaskazini kama sio uwezo wao wa nyuklia leo tungekuwa tunazungumza "marehemu" Korea ya Kaskazini.
Nchi pekee ambayo imetumia mabomu ya nyuklia ni USA....na US-NATO wanatumia silaha zenye depleted uranium katika maeneo wanayoyahujumu na sehemu wanazoingia kivita. Na sio Iran!
Tumepigwa bao na propaganda za US-NATO.
Ni sehemu nyeti za kijeshi...Iran wana haki ya kuruhusu au kukataa kuruhusu.

hilo sawa ndo wanaiwekea vikwazo tena wameisha chelewa kwa sasa israel ipo kwenye hatari itakapoanzisha vita na iran . Kama ulisha sikia ndio defeated ya israel na marekani watakapo anzisha vita. Mgogoro huu wa syria uliopandikiizwa naisrael. Ili izraeli ipate nafasi nzuri na kuwa salama lakini watu wamestuka.Mkuu, nakubaliana na wewe kwamba mataifa yote duniani yana haki zake. Lakini kosa kubwa walilofanya wairani ni kule ku-declare kwamba Israel has no right to exist, kitu ambacho kinamaanisha kwamba wakipata nuklia siku moja wataifuta kwenye uso wa dunia. Hapo ndipo ugomvi walipoukuza. Huwezi kufanya declaration kama hiyo ukitarajia Israel wenyewe na USA wakuangalie tu unatengeneza nuklia za kuja kuwamaliza. Hata kama ningekuwa mimi ndo mataifa hayo siwezi kukuacha.
the west wont trust them-
why didnt they allow observers into their plants?
MkuuMkuu, nakubaliana na wewe kwamba mataifa yote duniani yana haki zake. Lakini kosa kubwa walilofanya wairani ni kule ku-declare kwamba Israel has no right to exist, kitu ambacho kinamaanisha kwamba wakipata nuklia siku moja wataifuta kwenye uso wa dunia. Hapo ndipo ugomvi walipoukuza. Huwezi kufanya declaration kama hiyo ukitarajia Israel wenyewe na USA wakuangalie tu unatengeneza nuklia za kuja kuwamaliza. Hata kama ningekuwa mimi ndo mataifa hayo siwezi kukuacha.
Ureno, spain, UK , Roman empire, Ottoman empire pia ziliwahi kuwa "mkubwa". Ukubwa ukitumika visivyo, huwa ni kujitengenezea mporomoko!mkubwa mkubwa tu-USA anataka heshima yake
Ni sehemu nyeti za kijeshi...Iran wana haki ya kuruhusu au kukataa kuruhusu.
Lakini Iraq waliruhusu timu za Hans Blix, Scooter na matokeo yake yalikuwa yepi?
US na Israel ambao wenyewe wanamiliki silaha za nyuklia, ambao pia hawaruhusu ukaguzi wa plants,sites zao wanapata wapi kiburi na jeuri kutaka kuipekua nchi wanayoishuku tu?
Ripoti zote zilizotoka mpaka sasa hakuna inayoitia hatiani Iran kuwa ina mpango wa wa kuunda silaha za kinyuklia. Ni propaganda zaidi kuliko ukweli.
Lakini hata kama Iran itatengeneza silaha za nyuklia, tatizo liko wapi? Ukiwa na nyuklia, unaheshimika.
Angalia Gaddafi alipoacha mpango wa nyuklia..Saddam pia....hata Korea ya Kaskazini kama sio uwezo wao wa nyuklia leo tungekuwa tunazungumza "marehemu" Korea ya Kaskazini.
Nchi pekee ambayo imetumia mabomu ya nyuklia ni USA....na US-NATO wanatumia silaha zenye depleted uranium katika maeneo wanayoyahujumu na sehemu wanazoingia kivita. Na sio Iran!
Tumepigwa bao na propaganda za US-NATO.
una point lakini lets assume Nonda is Israel na Iran kishasema aliyosema lazima akufute,then leo anatengeneza nuclear bomb,wat u gon do? for me hakuna discussion hapo ninge attack ASAP akiwa bado non nuclear kuliko kuja kukutana naye baadaye akiwa na nuclear,can you imagine saddam angekuwa nalo yule mtu aliyevamia na kuichukua Kuwait,je waarabu wenzake wangepona?nina uhakika leo ungekuwa unalipa oil dola 1000$
swala la kuchunguza-sometimes ubabe unasaidia-maana kama una strong army then unashindwa kuitumia-lazima utakuiwa unajiandalia mwisho wako-nazani ndicho usa anachofanyaEdo,
Hivi hata kama ni ubabe kweli unaweza kumruhusu mwanaume mwenzako aja achunguze mpaka chupi za mkeo...:A S embarassed:
Unakumbuka Mwalimu aliwaambia nini wale waandishi wa habri pale uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata?:A S-coffee:
Ureno, spain, UK , Roman empire, Ottoman empire pia ziliwahi kuwa "mkubwa". Ukubwa ukitumika visivyo, huwa ni kujitengenezea mporomoko!
una point lakini lets assume Nonda is Israel na Iran kishasema aliyosema lazima akufute,then leo anatengeneza nuclear bomb,wat u gon do? for me hakuna discussion hapo ninge attack ASAP akiwa bado non nuclear kuliko kuja kukutana naye baadaye akiwa na nuclear,can you imagine saddam angekuwa nalo yule mtu aliyevamia na kuichukua Kuwait,je waarabu wenzake wangepona?nina uhakika leo ungekuwa unalipa oil dola 1000$
una point lakini lets assume Nonda is Israel na Iran kishasema aliyosema lazima akufute,then leo anatengeneza nuclear bomb,wat u gon do? for me hakuna discussion hapo ninge attack ASAP akiwa bado non nuclear kuliko kuja kukutana naye baadaye akiwa na nuclear,$
Wawatwange tu haraka naona wanawachelewesha.