Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,432
- 21,443
Funga msikiti tu sheikh wangu.Nimeishi maisha yangu nikijua kua
Mtawala wa mashariki ya kati kiuchumi na kijeshi ni Irani..
Jeshi lenye nguvu la mashababi na viongozi wa kijeshi mashababi ni irani
Sasa hiki ni nini mngu wangu!!!!
Leo naandika kwa machozi mazito
Aaah😭😭 irani umenivua nguo.
Wenzio wamepeleka ndege wew unapeleka droni na makombora Ya kutuma
Tena formation walio tumia kuipiga israel. Inaitwa jiwe Gizan operation, yan tunarusha makombora ya mpata mpatae yeyote litakalo mkuta poa tu??
S400 s500 air defence ziliwekwa kwenye maeneo nyeti baaada ya kuona mazungumzo ya nyuklia hayawez kufua dafu. Lakin hayo maeneo ndio yalio pigwa...
Nitaambia nini watu shekhe mimi.😭😭😭
Tumelipiza gharama ya kuuwawa viongozi wakubwa wa Jeshi letu na wanasayans kwa kushindwa kuua hata kuruta mmoja wa kizayuni. Kweli!!!? Achilia mbali hata kudungua ndege zao.
Kwa dhereu ndege za mayahudi zinajazwa mafuta kwenye nchi vibaraka wetu.
Kwa sasa nahitaji kutiwa moyo na kupewa maneno matamu ili nipate usingizi
Wanajamvi mnao koment vibaya nitawashtak
Na hii sijida kichwan sjui niifanyajeFunga msikiti tu sheikh wangu.
AstakafirwahIsrael hadi sasa wameuliwa wangapi? Iran hadi sasa wameuliwa wangapi? mkuu wa jeshi wa iran kauliwa kama kuku si aibu hii? tena alikua chooni anakata gogo
Makobasi na vilemba na shunting hamjawai kuwa na akiliNimeishi maisha yangu nikijua kua
Mtawala wa mashariki ya kati kiuchumi na kijeshi ni Irani..
Jeshi lenye nguvu la mashababi na viongozi wa kijeshi mashababi ni irani
Sasa hiki ni nini mngu wangu!!!!
Leo naandika kwa machozi mazito
Aaah😭😭 irani umenivua nguo.
Wenzio wamepeleka ndege wew unapeleka droni na makombora Ya kutuma
Tena formation walio tumia kuipiga israel. Inaitwa jiwe Gizan operation, yan tunarusha makombora ya mpata mpatae yeyote litakalo mkuta poa tu??
S400 s500 air defence ziliwekwa kwenye maeneo nyeti baaada ya kuona mazungumzo ya nyuklia hayawez kufua dafu. Lakin hayo maeneo ndio yalio pigwa...
Nitaambia nini watu shekhe mimi.😭😭😭
Tumelipiza gharama ya kuuwawa viongozi wakubwa wa Jeshi letu na wanasayans kwa kushindwa kuua hata kuruta mmoja wa kizayuni. Kweli!!!? Achilia mbali hata kudungua ndege zao.
Kwa dhereu ndege za mayahudi zinajazwa mafuta kwenye nchi vibaraka wetu.
Kwa sasa nahitaji kutiwa moyo na kupewa maneno matamu ili nipate usingizi
Wanajamvi mnao koment vibaya nitawashtak
Marubani ni wanawake na operation imesimamiwa na wanawake WA kiyahudiNimeishi maisha yangu nikijua kua
Mtawala wa mashariki ya kati kiuchumi na kijeshi ni Irani..
Jeshi lenye nguvu la mashababi na viongozi wa kijeshi mashababi ni irani
Sasa hiki ni nini mngu wangu!!!!
Leo naandika kwa machozi mazito
Aaah😭😭 irani umenivua nguo.
Wenzio wamepeleka ndege wew unapeleka droni na makombora Ya kutuma
Tena formation walio tumia kuipiga israel. Inaitwa jiwe Gizan operation, yan tunarusha makombora ya mpata mpatae yeyote litakalo mkuta poa tu??
S400 s500 air defence ziliwekwa kwenye maeneo nyeti baaada ya kuona mazungumzo ya nyuklia hayawez kufua dafu. Lakin hayo maeneo ndio yalio pigwa...
Nitaambia nini watu shekhe mimi.😭😭😭
Tumelipiza gharama ya kuuwawa viongozi wakubwa wa Jeshi letu na wanasayans kwa kushindwa kuua hata kuruta mmoja wa kizayuni. Kweli!!!? Achilia mbali hata kudungua ndege zao.
Kwa dhereu ndege za mayahudi zinajazwa mafuta kwenye nchi vibaraka wetu.
Kwa sasa nahitaji kutiwa moyo na kupewa maneno matamu ili nipate usingizi
Wanajamvi mnao koment vibaya nitawashtak
Ooh. Allah nipe faraja. Mayahudi yananivua nguo ona sasa wametawala anga.Marubani ni wanawake na operation imesimamiwa na wanawake WA kiyahudi
Kilemba kinatusaidoa tukipigana. Ngumi zisiingie kichwani. Yan ni kama helmet flanMakobasi na vilemba na shunting hamjawai kuwa na akili
Acheni kufunika vichwa na vilembaa
Mnapitwana vitu vingi
Tuipake makeup shelhe isionekaneNa hii sijida kichwan sjui niifanyaje
Eeee hayaaa sawaaKilemba kinatusaidoa tukipigana. Ngumi zisiingie kichwani. Yan ni kama helmet flan
dua la kukuIsijali mkuu. Irani itarudi na comeback ambayo dunia yote itashangaa.
Anyways, tunaombea amani duniani.
Hawa wakanisa wakienda omba kanisa hawaombi Mungu wanaenda tongozana hebu we tazama akili za huyu mtoa mada hawa si ndio design za nguruwe wa njombe hahaha. Israel anapokea kichapo wao wanageuza story hahahahaUnajifariji baada ya Israel kupokea kichapo🤣🤣🤣
Comment yako inaonesha umevunjwa moyo na irani kama mimi.. sema wew umechagua personal attack kupunguza machungu..Hawa wakanisa wakienda omba kanisa hawaombi Mungu wanaenda tongozana hebu we tazama akili za huyu mtoa mada hawa si ndio design za nguruwe wa njombe hahaha. Israel anapokea kichapo wao wanageuza story hahahaha
hivi kwa akili zako irani iliyowekewa vikwazo vya kila aina,nchi ambayo haisaidiwi na nchi yoyote ile hapa duniani unataka iwe sawa na israel ambayo inapewa misaada ya kifedha,silaha kubwa kubwa na marekani,itaweza kweli kuishinda israeli?Nimeishi maisha yangu nikijua kua
Mtawala wa mashariki ya kati kiuchumi na kijeshi ni Irani..
Jeshi lenye nguvu la mashababi na viongozi wa kijeshi mashababi ni irani
Sasa hiki ni nini mngu wangu!!!!
Leo naandika kwa machozi mazito
Aaah😭😭 irani umenivua nguo.
Wenzio wamepeleka ndege wew unapeleka droni na makombora Ya kutuma
Tena formation walio tumia kuipiga israel. Inaitwa jiwe Gizan operation, yan tunarusha makombora ya mpata mpatae yeyote litakalo mkuta poa tu??
S400 s500 air defence ziliwekwa kwenye maeneo nyeti baaada ya kuona mazungumzo ya nyuklia hayawez kufua dafu. Lakin hayo maeneo ndio yalio pigwa...
Nitaambia nini watu shekhe mimi.😭😭😭
Tumelipiza gharama ya kuuwawa viongozi wakubwa wa Jeshi letu na wanasayans kwa kushindwa kuua hata kuruta mmoja wa kizayuni. Kweli!!!? Achilia mbali hata kudungua ndege zao.
Kwa dhereu ndege za mayahudi zinajazwa mafuta kwenye nchi vibaraka wetu.
Kwa sasa nahitaji kutiwa moyo na kupewa maneno matamu ili nipate usingizi
Wanajamvi mnao koment vibaya nitawashtak
Kwan mrusi ,china Bricks, pakistan hawamsaidii mwenzao??hivi kwa akili zako irani iliyowekewa vikwazo vya kila aina,nchi ambayo haisaidiwi na nchi yoyote ile hapa duniani unataka iwe sawa na israel ambayo inapewa misaada ya kifedha,silaha kubwa kubwa na marekani,itaweza kweli kuishinda israeli?
Hayo ndiyo matatizo ya kushabikia usilolijua!!! Ulikuwa unashabikia debe tupu!!!Nimeishi maisha yangu nikijua kua
Mtawala wa mashariki ya kati kiuchumi na kijeshi ni Irani..
Jeshi lenye nguvu la mashababi na viongozi wa kijeshi mashababi ni irani
Sasa hiki ni nini mngu wangu!!!!
Leo naandika kwa machozi mazito
Aaah😭😭 irani umenivua nguo.
Wenzio wamepeleka ndege wew unapeleka droni na makombora Ya kutuma
Tena formation walio tumia kuipiga israel. Inaitwa jiwe Gizan operation, yan tunarusha makombora ya mpata mpatae yeyote litakalo mkuta poa tu??
S400 s500 air defence ziliwekwa kwenye maeneo nyeti baaada ya kuona mazungumzo ya nyuklia hayawez kufua dafu. Lakin hayo maeneo ndio yalio pigwa...
Nitaambia nini watu shekhe mimi.😭😭😭
Tumelipiza gharama ya kuuwawa viongozi wakubwa wa Jeshi letu na wanasayans kwa kushindwa kuua hata kuruta mmoja wa kizayuni. Kweli!!!? Achilia mbali hata kudungua ndege zao.
Kwa dhereu ndege za mayahudi zinajazwa mafuta kwenye nchi vibaraka wetu.
Kwa sasa nahitaji kutiwa moyo na kupewa maneno matamu ili nipate usingizi
Wanajamvi mnao koment vibaya nitawashtak
wala hawamsaidii chochote,hakuna nchi yenye ubavu wa kuoigana na marekaniKwan mrusi ,china Bricks, pakistan hawamsaidii mwenzao??
Iran kakwaa kisiki, rushwa ni adui wa haki.Nimeishi maisha yangu nikijua kua