Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,145
- 3,765
ipe heshima Iran, yale madude yamerushwa kutoka Iran na yamefika, si kitu cha kubeza hata kidogoNimeishi maisha yangu nikijua kua
Mtawala wa mashariki ya kati kiuchumi na kijeshi ni Irani..
Jeshi lenye nguvu la mashababi na viongozi wa kijeshi mashababi ni irani
Sasa hiki ni nini mngu wangu!!!!
Leo naandika kwa machozi mazito
Aaah😭😭 irani umenivua nguo.
Wenzio wamepeleka ndege wew unapeleka droni na makombora Ya kutuma
Tena formation walio tumia kuipiga israel. Inaitwa jiwe Gizan operation, yan tunarusha makombora ya mpata mpatae yeyote litakalo mkuta poa tu??
S400 s500 air defence ziliwekwa kwenye maeneo nyeti baaada ya kuona mazungumzo ya nyuklia hayawez kufua dafu. Lakin hayo maeneo ndio yalio pigwa...
Nitaambia nini watu shekhe mimi.😭😭😭
Tumelipiza gharama ya kuuwawa viongozi wakubwa wa Jeshi letu na wanasayans kwa kushindwa kuua hata kuruta mmoja wa kizayuni. Kweli!!!? Achilia mbali hata kudungua ndege zao.
Kwa dhereu ndege za mayahudi zinajazwa mafuta kwenye nchi vibaraka wetu.
Kwa sasa nahitaji kutiwa moyo na kupewa maneno matamu ili nipate usingizi
Wanajamvi mnao koment vibaya nitawashtak
Comeback ya hayo mapipa yanayotumwa bila target au kuna kipya kingine? By the way zile drones alizomtumia Russia mbona hatuoni madhara yake kwa YahudiIsijali mkuu. Irani itarudi na comeback ambayo dunia yote itashangaa.
Anyways, tunaombea amani duniani.
Mapipa Gani yametumwa bila target mkuu?Comeback ya hayo mapipa yanayotumwa bila target au kuna kipya kingine? By the way zile drones alizomtumia Russia mbona hatuoni madhara yake kwa Yahudi
Kisasi ni kuua ZAIDI ya viongozi wa ngazi juu 20 wa Israel.Unajifariji baada ya Israel kupokea kichapo🤣🤣🤣
Si apeleke sasa anangoja hadi nan afe ndo apeleke hizo ndege jamanipe heshima Iran, yale madude yamerushwa kutoka Iran na yamefika, si kitu cha kubeza hata kidogo
Ni tofauti sana na kupeleka ndege sehemu.
Haujiulizi je Iran anaweza peleka ndege? Na akipeleka je, nini kitatokea??
Daaah tumeaibika sana waajemi wa kibaigwaKisasi ni kuua ZAIDI ya viongozi wa ngazi juu 20 wa Israel.
Mleta Uzi anajificha katika mbinu na uwiano wa mapigo kati ya Iran na Israel.
Mtu anamfinya mbinguni mkuu wa majeshi na viongozi wakubwa ndani ya masaa machache tu?
Israel hadi sasa wameuliwa wangapi? Iran hadi sasa wameuliwa wangapi? mkuu wa jeshi wa iran kauliwa kama kuku si aibu hii? tena alikua chooni anakata gogoUnajifariji baada ya Israel kupokea kichapo🤣🤣🤣