Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,244
- 15,062
Leo Haifa mpaa maji waseme maiiiKazi iendelee
Kuna Missiles iran wametengeneza ni fake ndio wanazo zipiga wamezitia kiasi fuel zikipigwa zinawaka.
Kabisa kabisaAyatollah Ali Khomen, hauna tena deni na dunia alichofanya hamna nchi yeyote ambayo umepiga miji ya Israel.
Tuliaminishwa kuwa Israel huwezi kumpiga.
Netanyahu alisema nchi yeyote ijaribu kurusha hata jiwe Israel waone😂
Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, alisema Tehran haina nia ya kufanya mazungumzo ya kusitisha vita hadi Israel wasimamishe mashambulizi yake. Kama wataendelea na sisi tuendelea kuwashambulia.Kabisa kabisa
View: https://youtube.com/shorts/bG6DM8EFYTs?si=OtcN3bfEOwvF_u0C
View: https://youtube.com/shorts/bie1KPWprMU?si=ju8-sVq4dZGrq5A7Tazama combo hicho 5minutes kiko Tela Aviv
View: https://youtube.com/shorts/38UWIFAZMF8?si=3J3vTY3QljobguO2
Kipigo kibaya kila moja anasema lake😂
Wamechangan'yikiwa kipigo anacho toa Iran si mchezoKipigo kibaya kila moja anasema lake😂
ISRAEL'S AMBASSADOR TO THE UN SAYS IRAN HAS ATTEMPTED ASSASSINATIONS OF THE U.S. PRESIDENT AND ISRAELI PM