Iran imelipua meli ya Israel

Ama mleta mada hujui lugha au unafanya propaganda na ushabiki maandazi[emoji849]

Eti "iran imelipua meli...." Mbona meli yenyewe ni nzima?
Unajua maana ya kulipuliwa? Vingeokotwa vipande tu huko baharini!!!
Kakwambia nani kama hio ndio maana halisi yakuripua???!!
 
Au israel kajilipua ili akamilishe mission flan
[emoji28][emoji28][emoji12][emoji12][emoji12] inawezekana ila sio mission yakuipiga IRAN hilo hawezi nahatakaa ajaribu kama huamini utaona naakijaribu tutasimuliana kitakachomkuta hapo sana sana tegemea kusikia kapiga wanamgambo wanaoungwa mkono na IRAN pale SYRIA[emoji38][emoji38][emoji28]
 
Wajilipue wao Iran awe mbuzi wa kafara
 
Pole yoa sana, hawa jamaa watatafutana hivi hivi mpaka nwisho wa dunia...
 
Ngoja nisubirie mjadala wa waarabu weusi na waislael weusi wakiwa kwenye ubora wao[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama Israel kidume mbona sasa alipizi kisasi?????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Iran ndo wababe pale middle east!!
 
Basi utasikia hapo wanaonea wavaa kobazi huko jangwaani Syria eti ndo wanalipa kisasi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106].

Pigeni Tehran kama mna ubavu.
 
Wenzako si wajinga kihivyo

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 

Wako bize na maandamano, na huu ndio wakati wakuwashia mzigo wakiwa wamejikusanya sehemu moja
 
kisasi! kwani kakosewa nini?

iran alikua anasherekea huko kwao sijajua ni sherehe gani sasa wakati wanapiga zile baruti ziliruka umbali mrefu zikaenda kuchafua meli ya israel

ile ni bahati mbaya tu
 
Kwani meli yenyewe bei gan??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…