M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 8,097 Reaction score 10,951 Sep 12, 2011 #1 Ni kijana mdogo ...MWIGULU MCHEMBA,lakini kwa mfungamano wake na mafisadi ....ni dhahiri wana Iramba Magharibi tumepata mbunge ambaye ana kila dalili za kufuata nyayo za BOSI WAKE JK,Ni lazima tumwandalie dawa yake 2015.
Ni kijana mdogo ...MWIGULU MCHEMBA,lakini kwa mfungamano wake na mafisadi ....ni dhahiri wana Iramba Magharibi tumepata mbunge ambaye ana kila dalili za kufuata nyayo za BOSI WAKE JK,Ni lazima tumwandalie dawa yake 2015.