FORCE NAMBA
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 937
- 327
Wadau wenyeji wa Mwanza nisaidieni shule nzuri ya boarding private inayotoa elimu bora ili nipeleke mtoto
Mpeleke Nyakahoja Primary School, ina boarding ileWadau wenyeji wa Mwanza nisaidieni shule nzuri ya boarding private inayotoa elimu bora ili nipeleke mtoto
2.5 Millions Tsh.Ada katika shule ya sec alliance
Mdau hapo ameomba msaada wa kumpeleka mtoto shule nzuri, nimemtajia kwa upande wa Primary.Papa Mopao issue ni kuanzia kidato 1 na kuendelea
Mugini wana bei gani ada na ipo mitaa ipi Mwanza?Kwa Primary Peleka Mugini Pre and primary schools na kwa Secondary check na Alliance Schools Ni Schools Nsuri Sana