Ipi ni Application nzuri ya kufanya Call blocking ?

aljandro

Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
18
Reaction score
1
Nisaidieni App ya Android yenye uwezo wa ku block namba nitakazo (blacklist) bila ku block namba mpya. Pia isiyoonesha notifications zozote zile
 
Kama Unayo antivirus yeyote katika simu yako basi unaweza pia ku block namba hizo
 
Nisaidieni App ya Android yenye uwezo wa ku block namba nitakazo (blacklist) bila ku block namba mpya. Pia isiyoonesha notifications zozote zile

Fungua google play store, kwenye search box andika ariglance
Kwenye search result, install Hide SMS Hide text and call

Hiyo itafanya exactly what you looking for
 
mimi nisaidieni jinsi ya kuweka namba mbalimbali kwenye black list kwa cm za indroid
 
Back
Top Bottom