Ipi kozi nzuri kati ya mechanical engineering na electronic & telecominication engineer?

Soma Tele au kama utapata admission ya umeme piwa itakuwa poa
 
SOMA MECHANICAL ENGINEERING, ILA UKASOME VZURI NA UWE COMPETENT, UKIMALIZA TU AJIRA HYO.

ZINGNE HZO NI KAMA B.EDUCATION WALIOPGWA ZA USO.
 
Waambie hawa vijana maana nahisi hawaelewi hii kozi ikoje. Ukiangalia sana, expansion ya uchumi wetu lazima iwe kwenye viwanda, nishati na madini. Maeneo hayo hakuna namna bila ME
 
bro asante kwa ushauri wako naufanyia kazi
 
Ulimwengu unaelekea kwenye mawasiliano kama una Hobby na Mechanical then you can go there but kama ni interm of Wealth and self employed chukua Electronics, Computer science ni very expensive kuanzisha mini workshop ya Mecha but kwa IT ni wewe na Pc yako tu
 
asante kamkubwa
 
Kaka zangu naombeni msaada ipo kozi nzuri ya kusoma na yenye field nyingi kati ya mechanical na telecomonication.
Ukisikiliza mawazo ya watu humu utachanganyikiwa cha msingi jiulize haya maswali
1. Je hii kozi ninaipenda?
2.je baada ya kumaliza chuo ninaweza kusurvive bila kutokuwa na ajira? Hii ina maanisha unaweza kujiajiri kwa urahisi?
Pia nenda katika vyuo uwatafute watu wanaosoma hizo kozi waulize kisha Pima maelezo yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…