Nisikilize Mimi kakako na ukifata ushauri wangu utakuja nishukuru siku moja.
Kuna koz za computer eng, telec eng, electronic eng, compt science na nyingine km hizo, hizi zilikuwaga zaman...
Saiv km unamtu unajua ukimaliza atakubeba bas kasome ila kumbuka imeandikwa alaaniwe amtegemeaye mwanadam(Mwenzio alikuwa anajitapa kuwa babake kamtuma asome koz flan ili amwingize kazin, mwaka wa mwisho anamaliza na Mzee akavuta).
Mechanical Mdogo wangu ipo vizur, asikwambie mtu eti follow ur dream, siku hiz hakuna dream zimebaki drama, we fata upepo utaja jilumu....ova